Recent content by Ganaz Sc

  1. G

    JamiiForums Tanzania Kibali cha uhamisho

    Bora umemwelewesha ww,thanks mr Mwanyasi
  2. G

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kibali cha uhamisho

    yaap best, mm n uhamisho wa kubadil kada ndio maana unahusisha utumishi na sio tamisemi
  3. G

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kibali cha uhamisho

  4. G

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kibali cha uhamisho

    Ok asante,n macjala wa kule utumishi au?
  5. G

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kibali cha uhamisho

    Habari wadau Hivi kibali cha uhamisho kutoka kwa katibu mkuu-utumishi hutumwa kwa njia ipi? Na pia huweza kutumia muda gan hadi kufika? Maana yapata mwezi sasa kibali changu kilitumwa kwa mwajri wangu huku Tanga lakni bado hakijafika hadi sasa.
  6. G

    JamiiForums Tanzania Kibali cha uhamisho

    msaada tafadhali, hiv kbali cha uhamisho kutoka kwa katbu mkuu-utumishi hutumwa kwa njia ipi (n posta au) na je huchuchua muda gani hadi kufka? maana mm kbal cha uhamisho kltumwa kwa mwajir wangu huku tanga yapata mwez sasa bado hakijafika had sasa
  7. G

    JamiiForums Tanzania Kuhamisha ajira Serikalini

    ckuiptsha coz niliomba ajra hii ya chuoni kabla ya kuajriwa hko halmashaur
  8. G

    JamiiForums Tanzania Kuhamisha ajira Serikalini

    yy inabd aiptishe barua yangu ila hataki,mkurugnz yy hana tatzo kasema ila shda n huyu afsa elmu. Ila afsa utumsh hpa kanishaur nianzie juu process
  9. G

    JamiiForums Tanzania Msaada kubadilisha ajira serikalini

    asante sana mkuu,kesho naelekea huko utumishi.tatoa mrejesho
  10. G

    JamiiForums Tanzania Kuhamisha ajira Serikalini

    thanks indeed
  11. G

    JamiiForums Tanzania Kuhamisha ajira Serikalini

    unajua haya n maisha na mm n kjana i need lyf, watu wa utumish nisaidien tafadhali katka hili
  12. G

    JamiiForums Tanzania Msaada kubadilisha ajira serikalini

    mimi ni mwalimu wa sekondari ajira mpya mwaka huu 2015, lakini kabla ya ajira hii nilikua nmefanya maombi mbalilimbali ya kazi ya kufundisha vyuo vikuu (tutorial assistant) sasa imetokea mungu kanisaidia nimepata kazi chuoni mwezi huu,sasa nilikua nimeandika barua kwa katibu mkuu utumishi ili...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Kuhamisha ajira Serikalini

    Mimi ni mwalimu wa sekondari ajira mpya mwaka huu 2015, lakini kabla ya ajira hii nilikuwa nimefanya maombi mbalilimbali ya kazi ya kufundisha vyuo vikuu (tutorial assistant). Sasa imetokea mungu kanisaidia nimepata kazi chuoni mwezi huu, sasa nilikua nimeandika barua kwa Katibu mkuu utumishi...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Wajue vinara wa migomo ya UDSM ambao sasa ni waheshimiwa

    Alshabib-2011
  15. G

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kubadilisha kaz serikalini

    thanks indeed mkuu
Back
Top Bottom