Adhabu hii ya kifo kwa aliye uwa ni bora iendelee!kwani ni hukumu iliyo ya haki kwa aliye uwa kwa dhulma.ila kwa alieua bila ya kukusudia au kosa jingine lolote lisilo husiana na mauji ya kusudiwa,hilo linaweza kuangaliwa kwa makini!ila aliyeua kwa makusudi nae pia auawe!japo hawezi kuwaondolea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.