Hii ndoto huwa si nzuri inatoa Ishara ya kuandamwa na Roho ya kurudishwa Nyuma kimaisha(Regression spirit).na mie ndoto za aina hiyo ziliwahi kunisumbua sana nikiota nipo darasani O.level (Wakati huo Shule ngazi hiyo nilikuwa nimeshamaliza kama miaka 20+ iliyopita) na wakati huo nilishamaliza...
Acha kuruka ruka, leta hoja ambayo ni substantive kisheria Kwa Legislative Legal Drafters ,inayokidhi justification ya Amendment ya Sheria husika .Nimekueleza Ili ufanye ku-repeal au ku- Amend Sheria inatakiwa Uje na hoja ya kuonyesha athari mbaya za ku- maintain Status Quo au Justification ya...
Jenga hoja yenye element za legislative legal Drafting kwanini Sheria ibadilishwe na siyo hisia tu Kwa sababu ya generalization na possible chuki zako binafsi Kwa Makala.Nini athari za ku- maintain status quo na nini faida ya Hilo badiliko unalopendekeza?
Haina Shida hao ni Wahasibu ,kutanguliza 'CPA' mbele ya Jina ipo kisheria ndani ya Sheria na Kanuni za Bodi ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu(NBAA)na siyo fatal,labda kama una hoja nyingine kuhusu uwepo wao hapo..
Hii nchi sijui nani kairoga? Huyu kijana Goodluck Antipas Shirima mteuliwa mpya Kamishna wa Petrol ni pandikizi la GSM n.k kuweza ku- influence issue za Petrol ndio maana bei hazishuki hapo Mtandao umemuweka kimkakati.kwa mbali naona enzi za Msoga zinarudi,Mungu tusaidie Bora hizi nafasi...
Mechi ya Simba na Orlando Pirates refa alienda kuangalia VAR kwenye Faulo ya Mugalu,lkn mechi hiyo hiyo Simba alifunga clear goli refa akalikataa goli na akagoma kuangalia VAR,utopoloni a.k.a Mwakarobo Jnr a k.a MALALAMIJO FC acheni hizo nyie sie exceptional mnataka mpira wacheze wengine Kwa...
Du kweli kufa kiume kunauma na imeisha hiyo!,yaani Mwakarobo Jnr bado mnalalama angalieni msije pata ukichaa,wenzenu wazoefu hatupigi kelele kama ni kufa Kwa hatua ya matuta kwetu siyo geni tulitolewa na Bingwa mtetezi Wydad tena Kwa kumfunga Nyumbani kwetu siye nyie Semi-Finalist Mamelodi...
Kunywa maji Mwakarobo Junior toa mwiko Nyuma akili zikurudie,bila takwimu kama hizo unapata wapi legitimacy ya kulalamila eti nyie mpo Bora mnalilia semi final ambayo haikuwa kwenye malengo yenu,na bado mnatafuta huruma isiyokuwepo eti mmeonewa ,Je mlitaka mshinde kimazabe kama kawaida yenu...
Malalamiko yamejikita zaidi katika HISIA na siyo Strong EVIDENCE ya upangaji Matokeo,naona MALALAMIKO FC A.K.A MWAKAROBO JNR mnaweweseka sana kajipangeni upya hiyo rufaa mnapoteza muda tu hamna kitu
Malalamiko yamejikita zaidi katika HISIA na siyo Strong EVIDENCE ya upangaji Matokeo,naona MALALAMIKO FC A.K.A MWAKAROBO JNR mnaweweseka sana kajipangeni upya hiyo rufaa mnapoteza muda tu hamna kitu
Acheni kelele hizo Mwakarobo Jr,Si mngefunga hizo penati mkathibitusha ubora wenu mnapiga utafikiri mmekunywa pombe aina ya pingu watu wenyewe hata Accurate pass 100 zimewashinda katika mchezo mzima na wastani wa kugusa mpira mara Moja katika Kila dakika halafu seriously eti mnataka muende Semi...
Yaani kushika Bomba ndo kuhangaika? Mwakarobo Junior mmeshindwa hata kupiga pass 100 katika mchezo na possession yenu ya below 30%,eti bado mnalilia goli Feki ambalo linegusa nyasi badala ya Nyavu na mnaitaka nusu Fainali seriously kweli?Mbona penati ziliwashinda ama nazo mmeonewa? Sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.