Recent content by GAMBLER

  1. GAMBLER

    JamiiForums Tanzania Dumb Ways to Die....

    Teheh tehe tehe tehe Boflooooooooooooooooooooooo hiyo ya petroli nimeikubali
  2. GAMBLER

    JamiiForums Tanzania Ctrl + Z

    Hahahaahha.... Kufahamu picha zo Bofro sometime unahitahi uwe na akili, CTRL + Z maana yake ni UNDO kwenye ICT Katika hilo tukio inakuwa haiwezekani kabisa, Asante sana Bofrooooooooooooo
  3. GAMBLER

    JamiiForums Tanzania Who wounded you???

    This is on of the best thread i have seen in JF. BOFLO naomba uwe una nitag mkuu
  4. GAMBLER

    JamiiForums Tanzania Msaada: Matatizo ya macho na miwani ya kusomea

    Wadau .....
  5. GAMBLER

    JamiiForums Tanzania Msaada: Matatizo ya macho na miwani ya kusomea

    mkuu point yangu ni btwn glass and plastic...... Na wapi best place in dar pa kupima macho
  6. GAMBLER

    JamiiForums Tanzania Msaada: Radio streaming

    msaada wadau
  7. GAMBLER

    JamiiForums Tanzania Msaada: Radio streaming

    msaada wadau.....
  8. GAMBLER

    JamiiForums Tanzania Msaada: Matatizo ya macho na miwani ya kusomea

    Wadau nilienda Hydary plaza kupima macho,nikapewa miwani ya kusomea, Baada ya wiki miwani ilianguka na kioo kikachomoka....nikaja kugundua kumbe ni plastic wameweka na sio kioo??? Hivi miwani ya kusomea wanaweka plastic na sio kioo???? Na kwa nini isiwe kioo?? Na kwa hapa Dar wapi ni Best...
  9. GAMBLER

    JamiiForums Tanzania Msaada: Radio streaming

    Wadau hivi mimi huwa nasikiliza times fm kwenye pc yangu kwa streaming.....Hivi nauliza hivi kwa muda wa saa moja inaweza kukata megabyte ngapi? natumia sasatel........ Na kwenye Huduma ya Blackberry naweza kuwa na radio streaming??
  10. GAMBLER

    JamiiForums Tanzania Msaada: Movie kwenye blackberry

    asante sana nimefanikiwa
  11. GAMBLER

    JamiiForums Tanzania Msaada: Movie kwenye blackberry

    Wana Jf..........mnaniangusha
  12. GAMBLER

    JamiiForums Tanzania Msaada: Movie kwenye blackberry

    Wana Jf..........mnaniangusha
  13. GAMBLER

    JamiiForums Tanzania Msaada: Movie kwenye blackberry

    hapo kwenye red sijakupata .....vipi nitaweza kusukuma hicho kitail
  14. GAMBLER

    JamiiForums Tanzania Msaada: Movie kwenye blackberry

    ni kwa file zangu nilizoweka kwenye simu
  15. GAMBLER

    JamiiForums Tanzania Msaada: Movie kwenye blackberry

    Wandugu mimi huwa naangalia movie ktk BB curve 8520, sasa nikitaka kuforword kidogo au kubackword kidogo, huwa sioni hiyo option, huwa inaforword mpaka mwisho au ku anza mwanzo kabisa....naomba msaada wenu nifanye nini ili niweze kuforwd au ku backword kidogo
Back
Top Bottom