Mkuu sijui unaongelea waliokuwa wanaongoza shule za maporini?
Ukweli ni kwamba 95% ya waliokuwa wanaongoza wana maisha ya kawaida na mzuri, yaani hawana shida ndogondogo. Wako wachache ambao wana hali mbaya ambapo utakuta katika safari yake ya masomo alipata matatizo ya kifamilia ikiwepo...
Kuna tetesi kuwa Serikali inapanga au imemvua Padre fulani uraia kisa walaka wa TEC. Nataka niseme kuwa kanisa huwa halichezewi na walevi wa madaraka, ulimweni kote kanisa linaheshimika. Nataka niwaombe viongozi kanisa Katoliki, huyo Padre wanaemuandama msiruhusu aende popote, baada ya hapo tupe...
Baada ya wapinzani kusurubiwa vya kutosha na kuonekana kama waahini ndani ya nchi yao, sasa hawaoni kesho yao hivyo wanaona wajiunge na anaemiliki jeshi ili waone kama 2020 watabahatika japo kupata ubunge au ukuu wa wilaya. Ukweli ni kwamba uchaguzi wa 2020 utakuwa wa geresha, washindi...
Si kweli mkuu, mfano mimi nilikuwa eneo ambalo ni double road, kama vile kutoka kimara hadi Ubungo, ni vigumu kila wakati jicho kuwa kwenye speed meter
Ndugu zangu kama kuna kipindi ambacho wananchi tunapata tabu kutembea na magari ni kipindi hiki. Trafic wamekuwa wengi kama utitiri barabarani, mfano Arusha kila baada ya dakika 4 mbele wapo, wanakusimamisha, wanakagua na kuhakikisha wakukute na kosa ili wakulipishe.Na kuna wengine unakuta...
Wadau serikali ilipiga marufuku uingizaji wa vifaranga, nia ni njema sana ya kulinda wajasiriamali wa ndani. Lakini tangu marufuku hiyo kumekuwa na upungufu mkubwa wa vifaranga. Mfano hivi sasa vifaranga wa mayai hakuna, ukihitaji vifaranga sasa inabidi ukae hadi mwezi mmoja au miwili ndipo upate.
Bahati mbaya sina namba ya Abdul Nondo ningempigia na kumpa huu ujumbe.
Wenye mawasiliano nae tafadhali mfikishie ujumbe huu. Mwenye mawasiliano nae tafadhali mfikishie wazo hili.
Ukweli ni kwamba sioni usalama wako pia na uendelevu mzuri katika masomo yako, wewe kama kiongozi wa mtandao wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.