You might have made a point but you ignored whether intentionally or for any other reason that this election was conducted under the worst democratic atmosphere ever since the reintroduction of multipartism.
Nimewahi kufundisha shule za namna hii na kwa kweli ninakubaliana na hilo. Ukifanya ulinganisho wa namna ambavyo ujifunzaji unavyozingatia maendeleo ya mtoto katika nyanja zote katika shule za mitaala ya kimataifa, kwa upande wa pili wa mtaala wa serikali ni kama stadi na ujuzi wa kumuandaa...
Mfano huo ni unawakilisha utaratibu wa shule nyingi za serikali na binafsi ambapo mchakato wa ujifunzaji na ufundishaji sio muhimu bali ufaulu katika mitihani ndio kipimo pekee cha mafanikio ya mwanafunzi, shule na walimu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.