Vjana scholars huwa hawaongei rumaz wanaongea facts asa nyie mnaosema et naskia udom kuna hiki mara kuna kile hzo ndo rumaz na intellectual haongei wala kuandika gossips aisee kama we first year uskurupukie kudakia vtu usivyo na fact navyo utaumbuka afu kama we ni scholar hebu kumbuka...

Intellectuals huwa hawaongei tetesi au fununu that means always scholar anaongea facts sasa wewe umeskia sikia vitu na wewe unaropoka tuu. Hebu ongea kitu kwa uhakika na uje na hoja za msing kushawish watu kuwa hiv ni vyuo vya kata navingine vya tarafa na kama vya wilaya na mikoa vpo visemen...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.