Recent content by gallow bird

  1. gallow bird

    JamiiForums Tanzania Islamization ya CCM-CCM inasilimu

    Mitumba na peremende walizopewa babu zako ndiyo zimefanya leo upige goti mbele ya sanamu la zege na mninga
  2. gallow bird

    JamiiForums Tanzania LIVE Mahakamani 29 Septemba 2026: Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

    Lissu alitumia zaidi ya siku mbili, acheni nao watumie haki yao
  3. gallow bird

    JamiiForums Tanzania Wakili wa serikali Katuga hajasema kweli; kisheria maneno "shall be liable" maana yake ni lazima, kama sio lazima lugha sahihi ni "will" au "should"

    Maana yake hata discipline ya law ina lugha yake si lazima neno liwe na maana ileile ya mtaani
  4. gallow bird

    JamiiForums Tanzania Wakili wa serikali Katuga hajasema kweli; kisheria maneno "shall be liable" maana yake ni lazima, kama sio lazima lugha sahihi ni "will" au "should"

    Unaweza tumia lugha ya staha tu mkafanya mjadala vizuri tu,kama huwezi soma tu
  5. gallow bird

    JamiiForums Tanzania Wakili wa serikali Katuga hajasema kweli; kisheria maneno "shall be liable" maana yake ni lazima, kama sio lazima lugha sahihi ni "will" au "should"

    Ndivyo walivyo,'wao' wakiongea togwa wataaminisha watu Wana akili sana,ukiongea wewe lililo tofauti na wao watakutoa akili
  6. gallow bird

    JamiiForums Tanzania Wakili wa serikali Katuga hajasema kweli; kisheria maneno "shall be liable" maana yake ni lazima, kama sio lazima lugha sahihi ni "will" au "should"

    Kila discipline ina lugha yake,land kwenye economics ina maana ya ardhi,water bodies na anga
  7. gallow bird

    JamiiForums Tanzania Wakili wa serikali Katuga hajasema kweli; kisheria maneno "shall be liable" maana yake ni lazima, kama sio lazima lugha sahihi ni "will" au "should"

    Kawaida yenu mkiwa kwenye majukwaa ya kisiasa na kijamii,ujuaji mwingi,mkipanda kizimbani kila swa 'sijui'
  8. gallow bird

    JamiiForums Tanzania Makatibu wapya CCM: Waislam wako 21, Wakristo 11. Hali inatisha sanaaaaa!

    Huko nyuma makatibu CCM walikuaje?.. ilikua sahihi?
  9. gallow bird

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Makonda halijui vizuri Kanisa.

    Hoja hoja hoja!
  10. gallow bird

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Makonda halijui vizuri Kanisa.

    Wewe ni mcsenge mcsenge tu mwenye fikra duni,haifai hata kufanya mjadala na wewe
  11. gallow bird

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Makonda halijui vizuri Kanisa.

    Ili iweje
Back
Top Bottom