Sidhani hata kama ungeoneshwa hayo mambo ungekubali kwa akili zako zilivo negative!
Ila moja zao la miaka hamsini ya muungano ni UWEPO WA VYOMBO KAMA JAMII FORUM NA UHURU WA KUTUKANA!
nakutakieni week end njema kama si sherehe njema za tz at 50.
Lyimo na wewe acha kukariri mimaneno bila kuwaza sawasawa ,so mtizamo usiokuwa unaendana na chadema ni wa wakina nani ?? au sasa watu wote hapa tz wanasemewa na cdm!( maana definition yako hapa ya wananchi ni:- wananchi ni watu wanaokubaliana na akili za chadema)
msanii ni mbowe na genge lake mnao fanya siasa hata kwenye meza ya uandishi wa katiba. i mean full time politics is unprogressive and hopeless kwa maneno mengine kusimamisisha maisha ya watu wote na mambo mengine yote hadi siku akiwa kiongozi wa nchi , haa ni ujuha, upumbavu na ni upumbavu ulio...
Mbowe alianza kupatapata akili kidogo alipokuwa anaongelea katiba na mambo ya balance ya wabunge bungeni, ghfla ucdm ukamzingira akaibuka anasema tutarudi barabarani , sijui anawaza nini kuwa watu wote niwaandamanaji???? majanga
kimenuka ni nini hasa kwa mtu asiye mhuni wa kijiweni kemondo?
au ni habari nayo kumjua mamluki fulani? je una uhakika gani kama wameisha huko hao mamluki? au wewe wewe tukuamini vipi kama si mamluki kwa namna fulani fulani?
tafuta vitu vya kuandika la umechoka pumzika mbele ya lap top kama...
zito kwa hili anaumbuka tu na uongo anaoendesha wa kujionesha kwa umma mzalendo kumbe wale wale. amesahau kuwa huwezi danganya watu wote kwa wakati wote. taratibu waandamanaji watafumbua macho tu , ajipe mda.hela anazo na most of it ni ufisadi tu ule ule anaoimba usiku na mchana kuwanyoonshea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.