Recent content by galindas

  1. galindas

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Je, ni kweli Magari aina ya Nissan Xtrail ni mabovu?

    Nunua kitu rojo inapenda shida zake utazitatua huko mbeleni.
  2. galindas

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Habari za muda wakuu, naomba kuuliza tena. Kuna jamaa yangu gari yake mark 2 grande, ina tatizo la kutetemeka sterling japo sio kila wakati. He yaweza kuwa ni nini?
  3. galindas

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Sorry, ni aina gani ya betri nzuri na ya bei nafuu.
  4. galindas

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Naomba kuuliza tena wakuu, ni Sina gani ya betri nzuri na ya bei nafuu?
  5. galindas

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Asante mkuu
  6. galindas

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Habari wakuu. Naomba kuuliza. Gari yangu haijawahi kunisumbua kwa namna yoyote. Lakini sasa kwa Mara ya kwanza imekuwa haiwaki kutokana na betri kuwa low. Naona kama ni jambo la ghafla sana kwa betri iliyokuwa nzima sana. Na hata nikibustiwa ikiwaka na kutembea umbali mrefu bado ukiizima haiwaki...
  7. galindas

    JamiiForums Tanzania Poromoko kubwa la bei kwa Gari aina ya Brevis

    Hazina lakini kwenye screen inabadili mafuta yaliyopo kuwa kms, na geji yako pia itaendelea kusoma kama gari zingine. Uzuri wa brevis ukijua safari yako ni km ngapi huna hofu ya mafuta sababu kila kitu kinaonesha, mpaka namna unavyokanyaga mafuta inakueleza utatembea km ngapi kwa uendeshaji huo
  8. galindas

    JamiiForums Tanzania Ni mafuta kiasi gani yanakuwa yamebakia pale fuel bar inapoanza kublink kwenye gari yako?

    Kwa wenye brevis kila kitu kinajieleza kwenye screen, unatakiwa kuijua gari yako vizuri.
  9. galindas

    JamiiForums Tanzania Cami vs vitz vs Sienta vs spacio

    Go for spacio
  10. galindas

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wanaopenda muziki kwenye gari, tukutane hapa

    Wewe kama Mimi, redio iliyokuja na gari ndio hiyohiyo. Kuliko nipeleke kwa fundi ianze kukatwa nyaya bora nisikilize hiyohiyo, kwa brevis sio mbaya
  11. galindas

    JamiiForums Tanzania Kwa waliosoma shule za msingi Iringa mjini miaka 90

    Nilianzia shule pale Makanyagio, nikahia nyumbatatu, then sabasaba tangu la pili mpaka namaliza. Wale waliomaliza 1995 sabasaba tutakuwa tunafahamiana vizuri tu.
  12. galindas

    JamiiForums Tanzania Maumivu ya kiuno na miguu

    Asanteni, nafanyia kazi ushauri wenu
  13. galindas

    JamiiForums Tanzania Maumivu ya kiuno na miguu

    Msaada tafadhali. Nimekuwa nikipata maumivu ya miguu hasa nikisimama bila movement, ila nikikaa au kulala sisikii maumivu yoyote. Tatizo linaweza kusababishwa na nini na matibabu yake yapoje.
  14. galindas

    JamiiForums Tanzania Toyota Cresta GX100

    Hizi gari nazikubali sana. Ni gari ngumu, nyingi utaziona zina namba A B na bado zipo vizuri. Tafuta gx 110 namba A uone zilivyochoka.
Back
Top Bottom