Recent content by galimanywa

  1. G

    Rais Magufuli akutana na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete Ikulu

    To be honest anatakiwa apumzike kabisa, amuache mwenzake afanyekazi. Hii haileti picha nzuri, na kama wapo wazee wenye hekima, ambao naamini wapo, wamshauri aache kumbuguzi mwenzake
  2. G

    Maagizo ya Serikali ya awamu ya 5 Yaanza kupotoshwa

    Mimi kama auditor nalifahamu shirika moja(siruhusiwi kutoa siri za mteja) linatumia kati ya shilling bilioni mbili hadi tatu kila mwaka kwaajili ya safari za nje zisizokuwa na tija
  3. G

    Maagizo ya Serikali ya awamu ya 5 Yaanza kupotoshwa

    Nami namunga mkono mheshimiwa Rais kwa dhati. "No research no right to speak". Mheshimiwa amekuwa serikalini yapata miaka 20 sasa, anajuwa namna ambavyo hizi safari za nje zinavyotumika kihalifu (there is serious abuse and misuse of this opportunity). Kuna taasisi za umma ambazo, leo sitazitaja...
  4. G

    Lowassa ndiye Musa wa sasa kwa Tanzania

    Lakini Musa hakuwa kibaka. Huyu wakwenu, mmmmmm!!!
  5. G

    Lowassa ndiye Musa wa sasa kwa Tanzania

    lakini Musa hakuwa kibaki. Huyu wakwenu, mmmmmm!!!!
  6. G

    Mama Magufuli yuko wapi, mbona hamsaidii Mumewe kwenye kampeni?

    ya 9 duniani kwa uwezo mdogo wa kufikiri? Johnson Mbwambo Toleo la 350 30 Apr 2014 Kama ni kweli, haishangazi nchi kukosa mwelekeo WIKI iliyopita niliandika kuhoji iwapo mambo kwenda shagalabagala hapa Tanzania, ni kwa sababu ya werevu wa chama tawala CCM...
  7. G

    Gavana: Ununuzi wa vifaa vya BVR,mitambo ya TANESCO na mabehewa ya treni sababu za kushuka shilingi

    Huyu ndie think tank wa tanzaia! Ccm mnapoamba achieni ngazi munamtindio wa bongo mnakuwa mbogo. Sasa hiii ni nini kama sio mtindio?
  8. G

    Mnyika amshambulia Zitto mtandaoni, Vita yao sasa ni zaidi ya Siasa

    HAWA NI WATU WAAJABU SANA BADALA YA KUVALIA NUJGA MAMBO YANAYO HUJUM TAIFA WAO WAKO BUSSY NA MAMBO YA KANGA. SIJUI NDO KUWA NA 250MB KICHWANI!!! Ufisadi, ufisadi, ufisadi TRL Na Restuta James 22nd April 2015 B-pepe Chapa Sasa yagundulika aliyeleta mabehewa...
  9. G

    Majibu ya Serikali (Wizara ya Nishati na Madini) kuhusu ripoti ya PAC juu ya Tegeta Escrow Account

    Hivi donors wanaweza kusimamisha misaada tu bila kufanya uchunguzi wa kina na kujiridhisha? huu ni utetezi mwepesi sana. subiri nondo zitakazo shuka mda si mrefu
  10. G

    Majibu ya Serikali (Wizara ya Nishati na Madini) kuhusu ripoti ya PAC juu ya Tegeta Escrow Account

    Hizi ni hoja nyepesi sana anazotoa prof Muhongo na anapoteza mda tu wa wachangiaji. Hebu tumia tu akili ndogo, wewe ulishaona wapi pesa ya uuwekezaji inagawiwa namna hiyo?
  11. G

    UKAWA Wanadharau Mahakama

    Kweli ni vizuri akaweka wazi umri wake maana miropoko mingine inashangaza sana
  12. G

    Sakata la IPTL na ESCROW: Kafulila aanza kuumbuka, sasa kusambaza umeme MW 2000 Kenya

    HIZI MAHAKAMA VERY CORRUPT (CANGAROO COURT) ZINAMDANGANYA NANI? sub SU
  13. G

    JK kuhutubia Taifa kesho

    Yuko wapi Mobutu Sseseko Kuku wazabanga?Yuko wapi Gadafi? Yoko wapi Hosin Mbarak? Yuko wapi Alhasani Mwinyi? Yuko wapi Ben Mkapa? Kalenda ilipofika wote walikoma kuwepo kwenye viti vya enzi. Mwaka mmoja uliyobaki sio milele , huyu naye atakoma tu! na hii longo longo yak e itatupwa...
Back
Top Bottom