Recent content by Galileo

  1. Galileo

    Msaada kwa anayejua dawa ya chunusi (upele)

    Pole sana. Mimi pia hilo tatizo ninalo. Nikinyowa ndevu kwa nyembe au kwa mashine bado mavipele yanatokea. Mpaka nikasema sasa hizi ndevu niziuze lakini haikuwezekana. Kaka ngozi zetu sisi wengine nizafanana na chuma cha pua, tumia mafuta ya chuma kupaka maeneo hayo mara 2 kwa siku. Muda wa...
  2. Galileo

    Maajabu Tanzania

    :mad2::mad2::twitch::high5::bange::roll:UKAWA NGOMA INOGILE
  3. Galileo

    Maajabu Tanzania

    UKAWA wapo makini sana hata mimi najiandaaaaaaaaaaaaa kukikacha chama cha mfumo wa mafisadiiiiiiiiiiiiiii
  4. Galileo

    Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    Uamuzi Wa Pro. Lipumba Uheshimiwe. Hoja Yangu Hapa Ni Objective Na Siyo Subjective. Mosi, Lipumba Alikuwa Mhimili Mkuu Wa C U F. Kujiweka Nje Ya Uongozi Ni Kuiweka C U F Nje Ya Siasa Za Upinzani Na UKAWA. Pili, Sioni Kama UKAWA Una Uhai Kuelekea Uchaguzi Mkuu. Tatu, Mfarakano Wa UKAWA Haupo...
  5. Galileo

    Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    Uamuzi Wa Pro. Lipumba Uheshimiwe. Hoja Yangu Hapa Ni Objective Na Siyo Subjective. Mosi, Lipumba Alikuwa Mhimili Mkuu Wa C U F. Kujiweka Nje Ya Uongozi Ni Kuiweka C U F Nje Ya Siasa Za Upinzani Na UKAWA. Pili, Sioni Kama UKAWA Una Uhai Kuelekea Uchaguzi Mkuu. Tatu, Mfarakano Wa UKAWA Haupo...
  6. Galileo

    GE2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

    Habari Njema! Hassan Elias Masala, DC Wa Kibondo Amefanikiwa Kumdondosha Mbunge Alikawa Anatetea Nafasi Yake Ya Ubunge. Si Mwingine Bali Ni Waziri Wa Mambo Ya Ndani Ndugu Mathias Chikawe. Upepo Wa Kukataliwa Kwa Chikawe Ulianza Mara 2008, Alipoleta Sanda Za Kuzikia, Ktk Uchaguzi Wa C C M...
  7. Galileo

    Kwanini wasichana warembo wanawadharau sana wanaume walimu wa shule za msingi na secondary?

    Mapenzi Asili Yake Ni Corrupt! Love Is Always Atoxation In Nature. Whether You'a Loving Or Selling/buying The So 'n So Service
  8. Galileo

    Mtaji dhalimu wa CCM, sasa umekuwa nguzo ya anguko lao

    Mkuu Hivi Ni Kweli Oktoba Tunakwenda Kulamba Dume?
  9. Galileo

    Giza linaendelea kutanda Jamhuri ya muungano wa Tanzania

    Hakika Kwa Hali Ilivyo Na Mahali Nchi Ilipo, Sioni Mwanga Mbeleni Badala Yake Nakiona Kiza Kinend Giza Nene Limetanda Linaendelea Kutanda. Sina Imani Na Sioni Huku Kwangu C C M Wa Kuipeleka Kuleeee Tanzania. Nyie Wenzangu Mwaonaje?
  10. Galileo

    GE2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    C C M Haina Ubavu Wa Kumkata Membe! Maskio Hayazidi Kichwa
  11. Galileo

    Mtwara: Soko Kuu la Masasi laungua moto

    Nianze Kwa Kuwapa Pole Waathirika Wa Tukio Hilo La Moto Kuunguza Sokokuu La Mkuti-Masasi. Pili, Nitoe Rahi Kwa Watanzania. Umefika Wakati Shirika La Umeme (tanesco) Liwajibishwe Kama Kweli Itathibitika Chanzo Cha Moto Huo Kuwa Ni Umeme. Tatu, Serikali Ijifunze Kuweka Utaratibu Wa Ku-intervine...
  12. Galileo

    Ni ujinga kwa wamarekani weusi kuvumilia wazungu wawapige risasi

    Sheria Ifuate Mkondo Wake Lakini Wakati Mwingine Haki Hupatikana Kwa Kuvunja Sheria Kandamizi. Yule Kijana Kauwawa, Polic Hana Kesi. Leo Tena Kanisa Lalipuliwa, Bado Baraka Obama Ni Kama Haoni. Sasa Ni Muda Muafaka Kumpata Malcon X Na Lutherking Mwingine. Ni Wakati Wa Waafrika Au Waniga Kuwapiga...
Back
Top Bottom