Recent content by galaxy bebito

  1. G

    UDOM will soon start making SOFTWARE to be used for MICROSOFT platforms

    Msomi mzur hawez kuwa na mawazo mgando kuponda kinachofanyika udom coz c chuo kongwe kama udsm... Mwanazuoni aangaii jina la chuo ula kile ulichikipata chuoni.
  2. G

    Hivi ndio vyuo vya kata vya Tanzania

    Bado unawaza majina ya chuo itakucost dogo...fanya yako
  3. G

    Kazi Sina, Nazidi Kuchelewa Kuoa...

    Tuko wengi kaka tangu mwaka huo hakuna ajira kujiajiri capital utata.
  4. G

    Recruitment Agencies...

    Yeah mengne yalikua unaapply direct nauliza kwa yale yaliokua yanatumia hawa jamaa mana imekua kero.
  5. G

    Recruitment Agencies...

    Hivi wadau nilisikia waziri wa ajira akizipiga marufuku kuendelea na kazi ya uwakala wa ajira. Je ni kweli kwa sasa unaomba direct katika makampuni? Mfano voda..au ndio atill kina Erolink wapo?
Back
Top Bottom