Recent content by gagonza

  1. G

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awashangaa Kagera: UKIMWI nyie, tetemeko nyie, mna mto unaitwa Ngono na Kijiji cha Katerero

    Sasa naamini hawezi kuongea chochote cha maana atakapo kutana na viongozi wenzie wa mataifa mengine
  2. G

    JamiiForums Tanzania Kupotea kwa Ben Saanane: Hoja za wananchi, kinachoendelea na maoni ya Waziri Mwigulu

    Uko kujitetea kwa Mwigulu kuna jambo limejificha na serikali yake inajua ilichokifanya kwa Ben, Kama namba za simu iliyotoa vitisho dhidi ya Ben,kwa nini polisi isianzie uchunguzi kwa mwenye hiyo namba kama ni mkweli? Mwigulu ni mtaalamu wa mambo haya,tujikumbushe yaliyotokea soweto Arusha.
  3. G

    JamiiForums Tanzania Mageuzi makubwa CCM

    Ni kweli chama kubwa lakini akili ndogo,kichwa kikubwa ubongo mdogo
  4. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lowassa na Sumaye hawakaujiunga na upinzani tangia 1995 kama Lipumba na wengineo?

    Maswali mengine ni ya kitoto na ujinga mtupu, wewe haujui kila kitu na wakati wake, mbona haujiulizi kwa nini haukuzaliwa miaka ya 50, au kwa nni Magufuli hakugombea urais mwaka 1995
  5. G

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kuelezea mwaka mmoja wa utawala wake Ijumaa Novemba 4 live AZAM na TBC1

    Hapo ujue kesha pelekwa tution wiki mbili kabla ya kutangaza,sababu hakawii kutoka nje ya mada
  6. G

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kuelezea mwaka mmoja wa utawala wake Ijumaa Novemba 4 live AZAM na TBC1

    Kwa nini iwe azam tv na tbc? Hao wameshapewa maswali,au rais anawagopa watangazaji wengine
  7. G

    JamiiForums Tanzania Upigaji kura Tuzo ya Mtu Mashuhuri Afrika 2016 umefungwa rasmi, Rais Magufuli aongoza kwa 84%

    Kuna vitu vingine ukishabikia ni ujinga tu,
  8. G

    JamiiForums Tanzania Kikwete ataka mikutano ya hadhara

    Watabana wataachia tu,jk anataka jpm atukanwe majukwaani ili afurahi
  9. G

    JamiiForums Tanzania Nadhani wakati wangu kujiengua CHADEMA na kwenda CCM umefika

    Waondoke wote, mizigo nyie
  10. G

    JamiiForums Tanzania Naibu spika atoa ufafanuzi kuhusu adhabu zilizotolewa jana

    Rais hajujiandaa kuwa rais,naibu spika hakujiandaa kuwa naibu spika mnatarajia nini hapo,kila kitu kigeni kwao.
  11. G

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Acheni kuwahonga Wahariri na Waandishi kuandika Propaganda za Uongo

    Ushahidi ni upi
  12. G

    JamiiForums Tanzania Utafiti Mpya: Magufuli 82.2%, Lowassa 16%, Wengineo 2%

    Utafiti wa lumumba huu dah, vijana wa lumuba wanahangaika sana
  13. G

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Tutagawa bure Sukari itakayokuwa imefichwa

    Kweli ukipenda sifa sana,maharifa yanaondoka
  14. G

    JamiiForums Tanzania Baada ya Nape kuzuia Bunge, sasa Baraza la Halmashauri ya jiji la Arusha live kupitia Radio 5

    Sijawahi serikali ya kioga kama hii,kama unafanya mambo mema kwa nini unaogopa kuhojiwa?heko baraza la madiwani jiji la Arusha.nyie ndiyo wanaume wa shoka bhana.
Back
Top Bottom