Recent content by GadoTz

  1. GadoTz

    Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

    Mwezi mmoja ilikugharimu bei gani nje ya Tickets? Accomodation, chakula etc
  2. GadoTz

    Je, WCB inaenda kuzaliwa upya au inaelekea kwenye kifo?

    Tunazo lebo ambazo hazifanyi vizuri lakini si kweli kwamba lebo zinakosa mvuto ila uendeshaji wa lebo nafikiri ndio changamoto. Lebo kama Kings Music, Konde gang, Next level hazifanyi vizuri sababu ya poor management. Nandy msanii wake yule Yami anaenda vizuri japo ni mdogo mdogo sababu nyuma...
  3. GadoTz

    Je, WCB inaenda kuzaliwa upya au inaelekea kwenye kifo?

    Muziki wa gospel unafanya vizuri sana kwa sasa, wasanii wa gospel wakishtuka watapiga pesa nzuri wakati huu.
  4. GadoTz

    Je, WCB inaenda kuzaliwa upya au inaelekea kwenye kifo?

    Ni kweli kutoboa bila lebo ni ngumu sana kwa muziki wa wakati huu. Yes umlipe producer, umlipe na video director. Hapo pia unatakiwa uwe na social media manager anaesimamia akaunti zako anakupiga picha nzuri, video clips nk. Muziki umebadilika sana bila uwekezaji lazima uwe unajiweza sana.
  5. GadoTz

    Je, WCB inaenda kuzaliwa upya au inaelekea kwenye kifo?

    Wasanii wengi bado wanahitaji lebo kuwasogeza sio rahisi kwa muziki wa sasa kutoboa bila lebo sio rahisi na hata ikitokea umepata wimbo mkali ukapenya wenyewe bila uwekezaji shughuli inakuja kwenye kumaintain. Kumbuka video ya kawaida ambayo itakupa standard za msanii anaejielewa haiwezi kuwa...
  6. GadoTz

    Je, WCB inaenda kuzaliwa upya au inaelekea kwenye kifo?

    Inawezekana kama atawekeza kwenye kusajili vipaji na managers wenye commitment na kazi. Maana kwa sasa managers wa WCB ni kama wapo busy na mambo yao binafsi.
  7. GadoTz

    Je, WCB inaenda kuzaliwa upya au inaelekea kwenye kifo?

    WCB moja ya lebo zilizofanya vizuri na wanaendelea kufanya vizuri kwenye kiwanda cha muziki Tanzania na hata nje ya mipaka. Ila hapa kati ni kama lebo ilianza kudorola haswa baada ya kuondoka wasanii wao powerful, Harmonize na Rayvanny. Ile nguvu ya WCB kuisikia kila kona ya nchi imepungua...
  8. GadoTz

    Simulizi, Mikasa, Vitimbi na Visa vya wasanii wa zamani wa bongo fleva - A special thread

    Ni kweli, producers wa bongofleva awamu ya kwanza karibu wote walikuwa wa kishua.
  9. GadoTz

    Simulizi, Mikasa, Vitimbi na Visa vya wasanii wa zamani wa bongo fleva - A special thread

    Yamenikuta, yamenikuta, yamenikuta mzee mwenzangu ‘Yamenikuta’ ni moja ya nyimbo kubwa kuwai kutokea kwenye kiwanda cha muziki Tanzania. Huu wimbo ulikuwa hit mitaani bila msaada wa social media wala promo ya radio. Ulilia kila kona ya nchi vijana walikuwa wanaimba mashairi yake. Wimbo ni wa...
  10. GadoTz

    Simulizi, Mikasa, Vitimbi na Visa vya wasanii wa zamani wa bongo fleva - A special thread

    Albert Mangwea Albert Mangwea rapa mkali kabisa kuwai kutokea kwenye hii ardhi ya Tanzania. Mangwea kipindi cha uhai wake alipendwa sana sababu ya ukubwa wa kipaji chake, alikuwa anaweza kuchana, kuimba na ku-free style na alifanya haya kwa lugha zote Kiswahili na Kinyamwezi. Mangwea...
  11. GadoTz

    Simulizi, Mikasa, Vitimbi na Visa vya wasanii wa zamani wa bongo fleva - A special thread

    Solo Thang AKA Ulamaa anatekwa na Kikosi cha Mizinga Kuna wimbo wa Solothang unaitwa Ndugu Zangu, Solo anasema, ‘’Nishatekwa na Kikosi na sitolipa kisasi’’. Ni stori ya kweli, Solo alitekwa na kundi la Kikosi cha Mizinga lilikokuwa linaonngozwa na rapa mbabe Kalapina. Unaweza kuwa unajiuliza...
  12. GadoTz

    Simulizi, Mikasa, Vitimbi na Visa vya wasanii wa zamani wa bongo fleva - A special thread

    Mtoko wa Juma Nature Mara ya kwanza kabisa Juma Kassim Nature anaingia studio ilikuwa ni studio za Sound Crafters kwa Enrico, alikwenda kurekodi wimbo wa kundi alilokuwa anaunda yeye na swahiba wake Dollo. Kundi ili liliitwa FSG lilikuwa na wasanii wawili tu yeye Juma na Dollo. Wimbo...
  13. GadoTz

    Simulizi, Mikasa, Vitimbi na Visa vya wasanii wa zamani wa bongo fleva - A special thread

    Wimbo wa Tutakukumbuka unatoka mwaka 2001, King Crazy GK amemshirikisha TID. Ni wimbo maalum kwa mshikaji wake anaitwa D Rob aka Zomba. Mwana FA kwenye ngoma yake ya Ingekuwa Vipi anatuuliza, Ingekuwa Vipi angekuwa hai D Rob? Huyu D Rob ni nani? Marehemu D Rob aka Zomba ambaye jina lake...
Back
Top Bottom