Recent content by Mo pal-mo

  1. Mo pal-mo

    Anayejua historia ya hawa jamaa Ku klux clan

    Lilikuwa ni genge ila lilitumika kisiasa zaidi, yaan serikali ilitoa sapoti japo hadharani ilijifanya kulikemea. Walikuwa wanapambana na 1; ukomunist 2;watu weusi 3; ukatoliki ( hasa watu kutoka Ireland)
  2. Mo pal-mo

    Ijue historia ya Wahaya wa Kiziba ''Wenye Kagera Yao''

    Mkama alikuwa anamiliki ardhi,watu na mifugo sababu kipindi hicho maeneo hayo kulikuwa na UKABAILA (feudalism) kama mfumo wa maisha. Ila utumwa umeletwa na waarabu baada kufungua mawasiliano kati ya pwani na huku bara. Kulikuwa na Slave Routes kutoka pwani hadi huku bara na kuelekea kongo...
  3. Mo pal-mo

    Binadamu anaweza kutibu ugonjwa wa kuzeeka?

    Uzee ni kuanzia miaka 50?, nadhan tusiangalie muonekano. Kikubwa ukifikisha hiyo miaka wewe unahesabika mzee. Hata uwe na sura ya kitoto
  4. Mo pal-mo

    Binadamu anaweza kutibu ugonjwa wa kuzeeka?

    Kwahyo katoto ka mamba kanamuonekano sawa na mamba mkubwa.
  5. Mo pal-mo

    Historia ya Wahima na eneo la magharibi ya Tanganyika kama ilivyoandikwa ndani ya kitabu Zamani mpaka siku hizi

    Aisee!! Kuna mambo nimekuwa nikiyasikia naona humu yamefafanuliwa zaidi. Na kuna makabila nilikuwa naona yanamuingiliano ila naanza kupata picha. Niliwahi kuishi sengerema sasahivi ni halmashauri ya buchosa, kuna sehemu inaitwa uzinza. Hawa wazinza lugha yao inafanana na kihaya, Pia maeneo ya...
  6. Mo pal-mo

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Simu yako inakusaidia nini? Shika simu yako nenda upande wa app ya Saa. Utaona miji mbalimbali katika dunia hii na mda wake.
  7. Mo pal-mo

    Kuna madhara gani ya kukaa muda mrefu bila ya kuwa na mahusiano?

    Hakuna madhara yeyote ,kiuchumi wala kiafya.
  8. Mo pal-mo

    Mbeya: Mume amuua mkewe kwa kumchinja na kutenganisha kichwa na kiwiliwili

    Aisee!! ndoa ina siri. Kuna watu walioa kwaajili ya sex, lakini walichokikuta ni tofauti kabisa, ndani ya mwezi ikizidi sana unapiga hata mara 5 tuu. Ndoa ni zaidi ya sex,
  9. Mo pal-mo

    Mbeya: Mume amuua mkewe kwa kumchinja na kutenganisha kichwa na kiwiliwili

    Kwa taarifa yako kuna watu wameoa ila hawapati tobo.
  10. Mo pal-mo

    Mimi ni kijana wa Miaka 25 nna tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume

    Your problem is more psychological than physical.
  11. Mo pal-mo

    Nimeshaoa, naombeni nifahamu mambo ninayotakiwa kufanya na kutofanya kwa mke

    Siku moja moja unampakia mkongo , kumpoteza maboya. (It's a sex decoy)
  12. Mo pal-mo

    Jifunze kuendesha (ku-control) nafsi ili kujikomboa katika vifungo na kuwa msaada kwa wengine

    Kitu ambacho hakipo utathibitishaje kuwa hakipo? wakati hakipo?
  13. Mo pal-mo

    Mahari inapaswa kupigwa marufuku, inatweza utu wa Mwafrika na kukumbusha historia mbaya

    Ma feminist wameufyata mkia utadhani hawauoni huu uzi.
  14. Mo pal-mo

    Kataa Ndoa vs Kubali Ndoa

    Unaposoma kitabu lazima ujue mtazamo wa mwandishi ni upi. Usitegemee kitabu kilichoandikwa na Mhaya kiwasifie wachaga.
Back
Top Bottom