Kumekuwa na taarifa ambayo imekuwa ikisambaa katika mitandao mbali mbali ya kijamii ikiwamo wavuti ya UNDSS.
Katika taarifa hiyo imeripotiwa kuwa maeneo ya Masasani kwa maana ya ukanda mzima wa Peninsula Coco beach, Sea cliff, Saint Peters, Double Tree, Toure drive na maeneo mengine ya...
Tunaomba ufafanuzi wa kina na mifano kwa baadhi ya matukio yatokeayo huko kwa Mbezi kwa Msuguli il nasi tuanze kujipanga namna gani ya kujilinda kabla hawajafika kwenye maeneo yetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.