Recent content by Gadafy

  1. Gadafy

    JamiiForums Nini kifanyike kuhusu elimu ili iwe bora

    Jamani vyakula hapa kwetu vyakula vibovu sana ugali na maharage hivyo haviwezi kujenga ubongo wa mwanafunzi tazama nchi zite zilizo endelea kielimu hawali ugali mbegu
  2. Gadafy

    JamiiForums Dunia inaongozwa na pesa, mkono wa shetani

    Sadaka ni agano wanapoubiri juu ya sadaka ni sawa wameandikiwa kula madhabahuni na hata wanao enda kwa waganga sio kawa hawatoi sadaka ni imani juu ya sadaka unayoitoa bila sadaka hakuna kufanikiwa nakwambia ila mi so muhuhiri ee[emoji23]
  3. Gadafy

    JamiiForums Dunia inaongozwa na pesa, mkono wa shetani

    Sio mkono washetani mazee ivi unajua pia ata kwenye vitabu vya din tunatakiwa tupambane amna mtu anaetakiwa awe masikini utajiri ni mzuri na sio pesa zote ni mkono wa shetani zingine ni baraka za mungu sema ni tumejijengea kwamba pesa ni za shetani
Back
Top Bottom