Naomba mchangn wa mawazo ili nimshauri ndugu yangu. Yeye ni mwalimu ameajiriwa na serikali, alifanya mpango akaenda kusomea shahada ya (CED) maendeleo ya jamii na uchumi amemaliza 2011. ametafuta kazi inayoendana na fani mpya hajapata. mwishoni aliamua kuomba kwenye NGO inayoitwa AFRICA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.