Recent content by Gabriel senior

  1. G

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wazee wa kuweka mikeka nataka nijaribu kutafuta pesa kupitia betting rasmi mwez ujao AfCON/COPA AMERICA/UEFA NATIONS league zikiinza ila natak niwe na stake kuanzia elfu kum na kuendelea kwa wazoefu nipeni ushauri au maoni njia gan nitumie zaid ili nimkamue vya kutosha mhindi natak nipige pesa...
  2. G

    Afande Sele weka msimamo ubunge utaupata

    Ni moja ya msanii mzuri wa hip hop bongo pia mziki wake unaheshimika lakini toka ameacha kuimba na kuingia kwenye siasa huyu kinachomfelisha ni kutokuwa na msimamo. Mara CHADEMA,ACT na sasa hivi yupo CCM. Kama unataka upate ubunge tulia ndani ya CHAMA kimoja kama walivofanya wakongwe wenzako...
  3. G

    Dudubaya - dude

    Mzee konkii jaman katoa nyimbo mpya inaitw dude
Back
Top Bottom