Kaka yangu Sita yanamkondesha mengi, Katiba mpya, ambayo ingemwezesha kuchaguliwa na CCM kugombea urais kwa kigezo amewezesha kupatikana katiba yao. Ana msongo wa mawazo mengi hivyo ni lazima akonde
Duuh wee mkali nilikuwa na hasira za kufungwa 3-1, na mshikaji kachukua sm yangu kaandika mambo ya vyeo vya jeshi na jamaa
wamefunguka ovyo hovyo bila mipango, lakini baada ya kuisoma joke hii nimepata lite mmoja baridi na mambo ni cool.
East Africa, soma na uelewe kilicho andikwa hapa sio swala la wivu wala kukosa cheo. Ninaamini ulicho andika hakuna facts wala data hivyo maoni yako yana mkusanyiko wa mawazo yasiyo kidhi mjadala huu. Kama hujui dadisi ujue zaidi. Hata hivyo nakushukuru sana kwa kauli zako.
Takribani miaka minne iliyo pita upandishwaji vyeo vya maafisa wakuu ( Brig Gen )umekuwa ukifanyika bila kufuata !!MUUNDO WA JWTZ'' Muundo kwa maana ya ukubwa wa jeshi idadi ya nguvu kazi iliyopo, ikijumuisha askari na silaha.
Tafsiri iliyopo inaonekana vyeo vinatolewa kama zawadi na sio kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.