Recent content by Gabriel mtui

  1. Gabriel mtui

    JamiiForums Tanzania Hali ya wanafunzi wengi wa vyuo kupunguza bidii katika masomo

    Vijana mtaani wamekata tamaa sa ivi wanasoma basi ijulikane tu na yeye alipita University
  2. Gabriel mtui

    JamiiForums Tanzania Ada ya Mwanza University ni kubwa sana

    Then CUHAS, K.c.m.c, kairuki na kungine huko ndio maana vijana wana skip masomo ya Afya wanenda kozi nyingine huko kwa sababu wametoka kwenye familia masikini
  3. Gabriel mtui

    JamiiForums Tanzania Diploma in Nursing and midwifery

    Wadau wa elimu nina mdogo wangu ana diploma in Nursing and midwifery na anapenda kujiendeleza kimasomo anaomba ushauri ni kozi gani nzuri anaweza kwenda kusoma ukitoa Bachelor of science in Nursing [emoji120][emoji120]
  4. Gabriel mtui

    JamiiForums Tanzania BACHELOR OF SCIENCE IN MICROBIOLOGY

    Naombeni msaada wana jamii mwenye kuifahamu vizur programme tajwa hapo juu na fursa zake tafadhali.
  5. Gabriel mtui

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka nakwama kuhakiki RITA

    E rita portal ingia fanya registration endelea na maombi
  6. Gabriel mtui

    JamiiForums Tanzania Updates: HESLB Loan Applications 2023/2024

    Ingia E rita portal iyo unayotumia ina shida
  7. Gabriel mtui

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kwa aliyefanikiwa kutuma maombi HESLB anielekeze

    Kuwa mpole subir tu maana naona vipengele vinakubali kimoja komoja kila siku ila system yao ina shida kubwa sana
  8. Gabriel mtui

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna Mtu yeyote amefanikiwa kujaza form ya mikopo Loan Board (HESLB)?

    Tuendelee kusubiri tu mpka mfumo wao ukae sawa wao ndio wenye kisu sisi tuwe wapole tu[emoji23][emoji23] ila naona pre liminary information mpka sasa imekubali
  9. Gabriel mtui

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna Mtu yeyote amefanikiwa kujaza form ya mikopo Loan Board (HESLB)?

    Hapana tatizo ni moja kwa kila mtu unajaza details ukija ku view details zako hakuna kinachooneka poor kabisa bora wangebaki na mfumo wa zamani tu
  10. Gabriel mtui

    JamiiForums Tanzania Certificate verification number RITA

    Achana na cheti nenda kwenye account yako ya RITA uliyofanya registration log in tafuta sehemu iliyoandikwa details click hiyo sehem angalia sehemu iliyoandikwa activation code chukua hizo namba jaza kwenye mfumo jina lako litakuja automatically
Back
Top Bottom