Recent content by Gabmanu

  1. Gabmanu

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    Ahsante!! ila . molecular biology, petroleum chemistry, microbiology, food processing na chemicals engineering .. naona wanakubaliwa!! .. ipi n bora kati ya hizo
  2. Gabmanu

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    Naomba kujuzwa kuhusu hili!! kwa wale wa diploma ya lab. science and technology.. kutokea DIT, ATC or MUST.. wanaweza ku apply degree ya Medical lab.. na kukubaliwa?
  3. Gabmanu

    Mada maalumu: Mchakato Bodi ya Mikopo 2015/16 (Vigezo na ujazaji fomu)

    Nilifanikiwa na leo ndo ntatuma EMS.. lkn ningependa kujua wanavo sema leo ndo mwisho na mm ndo natuma leo.. kwel c ntakuwa nimechelewa
  4. Gabmanu

    Mada maalumu: Mchakato Bodi ya Mikopo 2015/16 (Vigezo na ujazaji fomu)

    Number yenyew nikipiga mara wanikatie.. mara hawapokei
  5. Gabmanu

    Mada maalumu: Mchakato Bodi ya Mikopo 2015/16 (Vigezo na ujazaji fomu)

    Majibu niliyo yapata tena ... yanazid kunichosha "We are sorry that the Transaction ID you provided does not exist in our system. Kindly make a payment though M-PESA and try again"
  6. Gabmanu

    Mada maalumu: Mchakato Bodi ya Mikopo 2015/16 (Vigezo na ujazaji fomu)

    Tangu jana nilipotaka kuanza kuji register online.. kweny ile link. inachukua mda mrefu. na mwishowe jibu linalokuja n hili This webpage is not available Opera-could not load the webpage because-olas.heslb.go.tz-took too long to respond. The website may be down, or you may be...
  7. Gabmanu

    Mada maalumu: Mchakato Bodi ya Mikopo 2015/16 (Vigezo na ujazaji fomu)

    Naomba kujua.. kama mimi ndo nakosea au tatizo lipo wap? kila nikijaribu ku click hiyo link ya ku apply.. inachukua mda kwel ku load na kukataa kabisa. Kwa anayejua tatizo lipo wap naomba mnijulishe.
  8. Gabmanu

    Nilikuwa nasikia tu kwa wengine, leo yamenikuta

    Oya... njo malizia... dinner had leo... haijaisha tu
  9. Gabmanu

    Viroja vya kuibiwa mtihani

    Wajanja... hao
  10. Gabmanu

    Ipe Maneno Picha hii

    Anatafuta naul.. ya kumrudisha China
  11. Gabmanu

    Village school bus

    Chap!! Chap!!!. ...
  12. Gabmanu

    Huyu nyoka hapa hachomoki

    Washamba ...hao!!".. Wanatoa macho tu...
Back
Top Bottom