Waungwana humu tumesaidiana kwa mengi. Naomba kwa yeyeto anayejua upatikanaji wa dawa za kurefusha na kunenepesha uume anijuze tafadhali ninashida kubwa sana juu ya tatizo hili.
Ukienda kupima na kukuta umeathirika watakupa ushauri wa nini cha kufanya. Kama umepima mwenyewe na hivi test tube wanazouza mitaani nenda kajisalimishe kwa wataalamu watakupa ushauri nasaha!!:hat::hat:
Kwanza ndugu yangu nakushauri uwaone madaktari wa macho haraka iwezekanavyo na huko huko utapata jibu la hilo swali lako la kutaka kujua maana ya RED-EYES!!!!!!!!
Kuongea ni haki ya kila mtu. Wewe mpokeaji ndiye wa kuchagua upokee lipi ambalo linaweza kukusaidia katika maisha yako. Kulaumiana hakujengi au hakuleti maendeleo!!
Wadau hakika alivyoeleza GAZETI ni sahihi kabisa. Tatizo la wanaume wengi kuishiwa nguvu za kiume limekuwa kubwa kuliko hata maelezo. Tushirikiane kwa pamoja tunaweza kupunguza suhuhisho. MEWATA si mnawaona wamekuja juu na SHINGO YA KIZAZI na SARATANI ya MATITI kwa wanawake??
Mwacheni atumie ili akidhi haja ya moyo wake. Kwani hizo dawa zimetengenezwa za nini?? Mbona dawa nyingine mnatumia yeye kwanini mumkataze?? Tumia ndugu yangu mambo yatakuwa sawa!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.