Pole sana dada! Kweli mambo kama hayo yapo sana katika jamii, ila nimeona mara nyingi Yesu pekee akifanyika msaada kwa wale wanaomkimbilia na kutaka msaada kwake! Kweli mimi mwenyewe nimekuwa mhubiri wa Injili ya Yesu na nimekutana na wanawake wengi waliotelekezwa na wanaume zao na wanaume...
Nafikiri swala la msingi hapa kama sio sekondari ni kupata kwanza maelezo walio yatoa kule police hawa 2suspect then ndio tunaweza kupata angalau ka picha ilikuwa nini......
tusisahau kuomba Mungu.....wakati mwingine akili zetu huchoka sana tunapoacha kumtegemea Mungu na tunaweza fanya vibaya bila Mungu.....TUMEANZA NA MUNGU NA TUTAMALIZA NA MUNGU
Jamani lazima sana tuwe makini juu ya mavazi..DRESS CAN SOUND...sijui sana ila kila vazi lina ligha,sasa sijui kama itakuwa ni busara...kama tutaingia kanisani na mavazi ya kuhamasisha kuvuta bagi au yenye maneno ya matusi kama vile leo t-shirt huchapishwa eti ****,utajiju nk.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.