Recent content by gabfavor

  1. gabfavor

    JamiiForums Tanzania Ubobezi katika sheria wa Tulia Ackson ni upi?

    Ubarikiwe tumejifunza vya kutosha.
  2. gabfavor

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete amtaja mhusika wa Richmond

    Rais Jakaya Kikwete amesema anashangazwa na Mwanasheria wa Chadema, Tundu Lissu kumtaka amtaje mhusika wa Richmond wakati mwenye Richmond yupo na anatembea naye mikoani. Tundu Lissu Kaweka mtego ambao kwa upande wowote utapanic utunaswa.
  3. gabfavor

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Lowassa awataka Walutheri wampe Kura nyingi awe Rais wa kwanza Mlutheri

    Ifamike tu kwamba hakuna dini ya ulutheri wala ukatoliki. Catholic na Lutheran yote ni madhehebu yaliyo katika dini moja ya Christian.
  4. gabfavor

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa kuzungumza na Vyombo vya Habari, Serena Hotel - Septemba 1, 2015

    May God lead him in the right path.
  5. gabfavor

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa kuzungumza na Vyombo vya Habari, Serena Hotel - Septemba 1, 2015

    Nikweli kwamba hichi kipindi sio rahisi kwake hivyo tumuombee Mungu amwongoze ajue watanzania wanahitaji nini, angalie maslahi mapana ya watu walio nyuma yake.
  6. gabfavor

    JamiiForums Tanzania Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

    Vyovyote vile itakavyo kuwa, uchaguzi wa mwaka huu haujawahi tokea katika historia ya Tz. Mungu ibariki Tanzania.
  7. gabfavor

    JamiiForums Tanzania Sakata la Richmond: Dr. Mwakyembe amkaanga Lowassa, Kumburuza Mahakamani...

    Chama cha CCM kama kitaendelea kumtuhumu Lowassa, itaonekana jinsi gani serekali ya CCM haikuwa makini katika utendaji wake.
  8. gabfavor

    JamiiForums Tanzania Sakata la Richmond: Dr. Mwakyembe amkaanga Lowassa, Kumburuza Mahakamani...

    Inashangaza, inamaana kwa kipindi chote hicho walikuwa hawana ushahidi wakumpelaka mahakamani? Maana swali bado litabaki kwamba, kama tuhuma zao ni za kweli kwanini hakupelwekwa mahakamani?
  9. gabfavor

    JamiiForums Tanzania Mada moto Channel 10: Edward Lowassa ndani ya UKAWA. Polepole amfananisha na malaya...

    Kwa mujibu wa utawala wa Katiba na Sheria zetu mtu anabaki kuwa "innocent" mpaka mahakama itakapomhukumu kuwa katenda kosa chini ya sheria. Ila nchi hii mtu anatuhumiwa halafu wanaotakiwa kumpeleka mahakamani hawampeleki kuthibitisha tuhuma halafu wanatuaminisha wananchi kuwa tayari katenda kosa...
  10. gabfavor

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe awasili kituo kikuu cha Mabasi Ubungo na kulakiwa kwa shangwe kubwa

    Without opposition no democracy
Back
Top Bottom