Recent content by G777

  1. G777

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani: 2grfse (Crown Athlete), inalia knock kwa mbali sometime hailii kabisa na iko fresh, engine power haipungui.

    Hata mimi imenisumbua kweli nilisafiri kwa mda mrefu nimekuja kuiwasha sisikii tena huo mkwaruzo nilikuwa nahisi labda ni starter ina shida lakini wapi.
  2. G777

    JamiiForums Tanzania Nikitaka kusoma short course za OSHA naanzia wapi ?

    Nenda ofisini kwao watakupa muongozo mzuri kabisa.
  3. G777

    JamiiForums Tanzania Nikitaka kusoma short course za OSHA naanzia wapi ?

    Osha wenyewe ofsini wanatoa maelekezo jinsi ya kujiunga. Nenda ofsini kwao utaelekezwa vizuri kabisa...
  4. G777

    JamiiForums Tanzania Nipo dilema: Je, niuze pikipiki yangu Boxer BM 150 ninunue Shineray inayotumia umeme?

    Habari! kiukweli baki na boxer story yako imenirudisha nyuma miaka 9 hivi usafiri wangu wa kwanza ulikuwa ni boxer embu ipe heshima yake boxer.
  5. G777

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shikamoo Fally Ipupa kwa hili Rhumba lako Kali na Tamu la MAYDAY

    Hawa jamaa wako vizuri Ferre et Fally ipupa Nakuwaga masafa marefu na mix nyimbo zao kama ifuatavyo:- FERRÉ GOLA -100kilos -vita imana -vinaigre -insectiside -Mea culpa -Réalite -pakadjuma -martyrisé -mokili makambo -double Taux -Elimine Hizo kwa uchache FALLY IPUPA -Associe -Cadenas...
  6. G777

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shikamoo Fally Ipupa kwa hili Rhumba lako Kali na Tamu la MAYDAY

    Attente nyimbo inanikumbusha mbali hii Associe noma sana Une minute nilikuwa napenda kuisikiliza nikiwa off mood basi tu
  7. G777

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shikamoo Fally Ipupa kwa hili Rhumba lako Kali na Tamu la MAYDAY

    Kuna hii album yake mpya ina hizi -martyrisé -Elimine -Mokili makambo -Double Taux Na nyingine nyingi ferre anaimba vizuri sauti yake kiboko
  8. G777

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shikamoo Fally Ipupa kwa hili Rhumba lako Kali na Tamu la MAYDAY

    I second you…au ali kiba(ferre gola) na diamond (fally ipupa) pia kwangu huwa imekaa hivyo
  9. G777

    JamiiForums Tanzania Wadau nani anajua bei za haya magari Afrika Kusini?

    Ahsante sana kaka nimeelewa Kazi kwangu sasa.
  10. G777

    JamiiForums Tanzania Wadau nani anajua bei za haya magari Afrika Kusini?

    Sorry kaka nitakuuliza mfano ushuru wa hyo ya 2010 ushuru wake utakuwaje?utakuwa wa SADC au kama tu wa japan?
  11. G777

    JamiiForums Tanzania Wadau nani anajua bei za haya magari Afrika Kusini?

    NP300 zinanichosha sana seats zake za kule nyuma leg room ni ndogo sana
  12. G777

    JamiiForums Tanzania Wadau nani anajua bei za haya magari Afrika Kusini?

    Nitachukua tu kampuni ya Toyota pia tutawasiliana zaidi unichukulie hyo gari nikiwa tayari.
  13. G777

    JamiiForums Tanzania Wadau nani anajua bei za haya magari Afrika Kusini?

    Nashukuru bro tutawasiliana Majukum yangu ya kazi pick up ni lazima niwe nataka nisiwe nataka ni lazima.
  14. G777

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nichukue gari ipi kati ya hizi?

    Kwahilo nitaweza chifu sitaweza kukwama maana ninamuda sasa mrefu wa kuishi na magari na pia natunza sana.
  15. G777

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nichukue gari ipi kati ya hizi?

    Binafsi yangu gari nataka ikiwa kubwa basi iwe na nguvu na nguvu lazima ihusishe wese la kiwango flani hiyo kwangu syo shida. Matunzo yapi yanatakiwa juu ya hiyo gari? Kufanya service kwa wakati(engine &gearbox )? Au ni gari ambayo haihitaji mikimiki au nini? Au ni gari zina faults flani toka...
Back
Top Bottom