Wafanyakaz iben haswaaaaa lkn hiz kikokotoo wangeangaliwa na wale wa private sectors mtu analipwa laki Moja na hamsin kwa mwez kafanya kaz miaka 10 kwenye nssf anayo milion 2 bado unamlipa asilimia 33% aibuuu
Wadau naombeni tusaidiane hivi hiki kikokotoo cha 33% kinawahusu wastaafu amabo wamefikisha miaka 55 au hadi wale wanaoachishwa kazi? Na je mfano kwenye mfuko nimechangia 7000,000 milion je nitalipwa kwa mgawanyo gani hadi hyo pesa nikamiliahiwe?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.