Recent content by future man

  1. future man

    JamiiForums Tanzania Diploma ipi inauzika mtaani kati ya hizi?

    Write your reply...ningependa arisiti walau masomo mawili apate credit ili aende advance coz watoto wa wakulima kwenda chuo ni gharama kubwa mno cha msingi atafute credit then apige advance afu achukue boom
  2. future man

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu tafadhali, je anaweza kuchaguliwa kwa huu ufaulu?

    Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu na moja kwa moja nielekee kwenye uzi wangu. Nina kijana wa dada angu amemaliza kidato cha 4 2020 na akafaulu kama ifuatavyo. ENGLESH. C GEOGRAPHY .C KISWAHILI. B HISTORY .C B/MATH .F CHEMISTRY. C CIVICS .B PHYSICS . D BIOLOGY. B Anadaraja la pili lenye...
  3. future man

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya kombi ya kusoma

  4. future man

    JamiiForums Tanzania Msaada just ya hizi course

    Naomba na mmi mnisaidie ushauri kwa haya matokeo kwani lengo langu ni kwenda kupiga laboratory technology pale MUST,DIT au Arusha ila nahofia kuchaguliwa kiswahil B engles C geo C chemistry C physics D CIVICS B BMATH F HISTORY C BIOLOGY B
  5. future man

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kwa matokeo haya

    Jamani wakubwa wanaJF, tafadhali naomba msaada wa ushauri kwa haya matokeo. Physics D, Chemistry C, Geography C, Civics B, History C, Kiswahili B, English C, Mathemetics F, Biology B. Lengo ni kwenda technical in laboratory technology. Je, naweza chaguliwa?
Back
Top Bottom