Recent content by FurahayaMoyo

  1. FurahayaMoyo

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ulimwengu Umeundwa Mahususi kwaajili ya ku support Uhai kama mtu anavyotengeneza banda kisasa ili kuku wakae ?. Vita kali dhidi ya atheist Ep2

    Kujua kingereza au English haimaanishi ndo unajua kila kitu wala English sio Lugha ambayo ndo ukieleza jambo linaeleweka kiuhalisia wake. Ndio maana mindset ya watanzania wengi wa hali ya chini wakiona mtu anaongea kingereza wanadhani anajua kila kitu kumbe ni utumwa wa fikra tu.
  2. FurahayaMoyo

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ulimwengu Umeundwa Mahususi kwaajili ya ku support Uhai kama mtu anavyotengeneza banda kisasa ili kuku wakae ?. Vita kali dhidi ya atheist Ep2

    Chanzo halisi (real source)cha uhai kipo na ndio kimeumba uhalisia wote wa mema na mazuri. Akili yake haichunguziki au intelligence yake akili ya kibinadamu haiwezi kuipima.
  3. FurahayaMoyo

    JamiiForums Tanzania Kapteni Ibrahim Traoré, kashaanza kulewa madaraka

    Demokrasia ni namna unatafsiri wewe ila ukisema ufate ya western countries unaingia cha kike mfano ni China hawana hiyo demokrasia ya western ila inamaendeleo sana. The same applied to udictator ni namna unatafsiri wewe au nchi yenu n not kama western countries zinaforce wote waamini...
  4. FurahayaMoyo

    JamiiForums Tanzania Wajuvi njooni mnijuze, "Mungu aliumba dhambi lini?"

    Heri, Wengi katika mapokeo ya dini na madhehebu walifundishwa ibilisi au shetani ni muovu ila kiuhalisia ni alikuwa mwenywe haki aliyeasi kabla ya hapo aliitwa kerubi (Ezekieli 28:13-16). Ila kulikuwa na waovu au machipukizi kabla ya kerubi ambayo ndio yaliomdondosha na hiyo mbinguni wengine...
  5. FurahayaMoyo

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini walokole huwa wakali unapokuwa against na nchi ya Israel?

    Ni mapokeo na mifumo ya dini waliyokaririshwa,ila wengi hawajui asilimia 95% ya waisraeli sio wakristo wala hawakumpokea Yesu hata mpaka kesho wao wanaamini masihi wao bado hajaja. Pia hawajui kwakuwa hawafundishwi kuhusu aliyosema Yesu katika Mathayo 21:43 Kwa sababu hiyo nawaambia, Ufalme...
  6. FurahayaMoyo

    JamiiForums Tanzania Nina maswali kadhaa hapa

    Nasema hivyo sababu yupo,na sheria zake zipo mfano tulikusudiwa tuishi umilele hapahapa juu ya nchi na ndilo kusudi ila tu kwa usafi wa moyo.
  7. FurahayaMoyo

    JamiiForums Tanzania Nina maswali kadhaa hapa

    Kuna higher consiosness ambayo ni Chanzo cha uhai na uumbaji wote,hakuna kitu kimetokea kwa bahati mbaya aka boom bang theory. The Real Source(Chanzo Halisi) ni kimoja tu na hana mwanzo wala mwisho ni eternity.
  8. FurahayaMoyo

    JamiiForums Tanzania Santa for Satan!

    Mungu ni wengi,Muumba ni mmoja,Yesu sio Muumba ila dunia ililazimisha aabudiwe rejea Yohana 17:3 Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma(mtume). Hata chrismass na pasaka ni ibada za kitu kingine kabisa tofauti na wengi wajuavyo.
  9. FurahayaMoyo

    JamiiForums Tanzania Angalizo: Kuna Wengi Wanamwabudu Shetani Wakidhani ni Mungu!. Jee Wewe Unajijua?, Jitambue!.

    Kheri, Naomba nichangie kidogo kwenye mada hii ili wengi wapate ufahamu wa kweli, Mosi Muumba ambaye ndiye The real source of all life ni mmoja na hagawanyiki kama mifumo tuliyoikuta ilivyotufundisha kupitia mapokeo mbalimbali.Ila iliandikwa itafika wakati itafahamika ni mmoja na jina lake...
  10. FurahayaMoyo

    JamiiForums Tanzania Uislamu hauruhusu mambo haya dhidi ya Mtawala: Kumkosoa hadharani, kumdhalilisha, kufanya maandamano na kutoka dhidi yake

    Vitabu vyote vinaonyesha hakuna aliyempinga kiongozi wake akawa salama.Hata Daudi japo alipakwa mafuta ya kuwa mfalme wakati Sauli akiwa mfalme ila hakumpiga mfalme Sauli hadharani alijua majira yake itafika bila uharibifu. Ndo maana ni muhimu kuwainua viongozi maana wanakutana na mengi hata ww...
  11. FurahayaMoyo

    JamiiForums Tanzania Imani Ya Kweli Ya Mungu Mmoja Wa Kweli

    Muumba wetu ambaye ndio Chanzo Halisi anaishi ndani yetu sote na sio huko angani kama wengi hudhania,hata Yesu alifundisha ombeni ufalme uje,rejea sala ya baba yetu. Warumi 3:11 Kila kitu amekifanya kizuri kwa wakati wake; tena ameiweka hiyo milele ndani ya mioyo yao; ila kwa jinsi mwanadamu...
  12. FurahayaMoyo

    JamiiForums Tanzania Imani Ya Kweli Ya Mungu Mmoja Wa Kweli

    Mathayo 5:8 Heri wenye moyo safi; Maana hao watamwona Mungu. Kumuona Muumba wako ni kupata kila hitaji la moyo wako(mema na mazuri tu)
  13. FurahayaMoyo

    JamiiForums Tanzania Imani Ya Kweli Ya Mungu Mmoja Wa Kweli

    The Real Source ni mmoja,wote na vyote tumetoka kwake na tumerejea kwake. Warumi 11:36 Kwa kuwa vitu vyote vyatoka kwake, viko kwa uweza wake, tena vinarejea kwake. Utukufu una yeye umilele. Kolosai 1:17 Naye amekuwako kabla ya vitu vyote, na vitu vyote hushikana katika yeye.
Back
Top Bottom