Recent content by Fuqin

  1. Fuqin

    JamiiForums Tanzania Natoa huduma ya kukaanga karanga

    Bei ya karanga kwa sasa haijatulia ...Nunua karanga tulifanyie kazi
  2. Fuqin

    JamiiForums Tanzania Mashine za kuprint mifuko ya mazao

    Mimi ninayo nafanyia kazi kama unataka nikuagizie gharama ml 25 mpaka Tanzania unachukua mashine yako
  3. Fuqin

    JamiiForums Tanzania Natoa huduma ya kuprint viroba

  4. Fuqin

    JamiiForums Tanzania Natoa huduma ya kuprint viroba

    Natumaini nipo poa kabisa!! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ninatoa huduma ya kuprint viroba vya kg 50,25,10,5 kwa bei nafuu kabisa ... Ofisi ipo Tandale sokoni namba ya simu ni 0674 864 371... Viroba unaweza kuweka unga au nafaka mbalimbali Bei zetu ni nafuu sana Kg50 ni 800 Kg25 ni 600...
  5. Fuqin

    JamiiForums Tanzania Nauza porte namba DTD

    Mawasiliano. 0674 864 371
  6. Fuqin

    JamiiForums Tanzania Nauza porte namba DTD

    Habari zenu!! Nauza gari yangu sio dalali gari ipo vizuri sana... Nipo DSM Bei ni milioni 9 maongezi yapo
  7. Fuqin

    JamiiForums Tanzania Natoa huduma ya kukaanga karanga

    Sawa
  8. Fuqin

    JamiiForums Tanzania Natoa huduma ya kukaanga karanga

    K Kuanzia kg 25
  9. Fuqin

    JamiiForums Tanzania Natoa huduma ya kukaanga karanga

    Tandale ndio kuna mashine, duka la karanga lipo Mwananyamala na hata hapa Tandale pia karanga zinauzwa
  10. Fuqin

    JamiiForums Tanzania Natoa huduma ya kukaanga karanga

    Nimetengenezesha kwa fundi...nimeangalia mashine za kichina zilivyo nikampa fundi plan na tukatengeneza...
  11. Fuqin

    JamiiForums Tanzania Natoa huduma ya kukaanga karanga

    Unaleta ofisini tunakaanga... Pia tunauza karanga lakini sio hapa duka lipo sehem nyengine
  12. Fuqin

    JamiiForums Tanzania Natoa huduma ya kukaanga karanga

    Nilisahau nipo Dar.
  13. Fuqin

    JamiiForums Tanzania Natoa huduma ya kukaanga karanga

    Habari, Ndugu wafanyabiashara wa peanut butter, unga wa lishe, karanga za kutafuna na n.k. nina mashine ya kukaanga karanga yenye uwezo wa kukaanga karanga zaidi ya kg 50 na pia nina mashine ya kutoa maganda yake kama utahitaji. Naanzia kg 25 na kuendelea, gharama za huduma ni sh. 30 kwa kilo...
  14. Fuqin

    JamiiForums Tanzania Wadau nakusudia kubadili dini na kuwa Muislamu, naomba mwongozo

    nenda msikitini utapata taratibu zote
  15. Fuqin

    JamiiForums Tanzania Ile kandarasi ya mfumo wa TEHAMA ya Wahindi Tanesco uende kukoma

    watanzania wanachoweza ni kuiba tuu... wacha watu weupe wafanye kazi
Back
Top Bottom