Kipindi ninacho kikumbuka star tv ni BBC swahili tuu. Sasa hata TBC na huyo Dialo wasipo onyesha kuna shida gani? Jambo lingine mnasema lowassa hakubaliki. Why wanatumia nguvu nyingi kumzima?
Taarifa z kuaminika nikwamba mlinzi wa Lowassa anaetambulika kwa jina la Aloyce Tendewa yupo mbioni kufunguliwa kesi ya kumtishia kumuua aliyewahi kuwa Katibu binafsi wa Nyerere bwana Kasori Imefahamika Tendewa atapandishwa kizimbani wakati wowote kuanzia sasa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.