Recent content by fundy

  1. fundy

    Hawa ndo Kuku wa Malawi

    hongera
  2. fundy

    Morogoro kupata shamba

    msaada wa kupata shamba morogoro.mwenye maelekezo asaidie na asiwe tapeli
  3. fundy

    Mahitaji ya viwanja,mashamba wilaya ya Mkuranga,nipo hapa kukusaidia!

    Mada nzuri sana.Ni kilometa ngapi kutoka kiwanda cha azam kufika huko mkuranga??
  4. fundy

    Msaada katika ndoa: Mwaka wa tatu kwenye ndoa sijapata ujauzito

    1.Muombe Mungu 2.kula vizuri,pumziken vya kutosha na mzuie jamaa wako kwa siku kadhaa ili wingi wa .....wepo. 3.kunyweni maji mengi kwa siku ili kuondoa sumu na damu isafiri vizuri mwilini 3.Tumieni vyakula vyenye madini joto kwa wingi. 4.Mazoezi ya kawaida fanyeni. 5.Furahia mnapokutana,Mungu...
  5. fundy

    Makosa 10 aliyotenda Mungu

    Shida zote zinazoukumba ukimwengu ni kwa sababu ya choices za mwanadamu.Yes aliangamiza ila ukicompare na alivyorehemu na kuokoa utaona mzani unaelemea sana wapi.
  6. fundy

    Makosa 10 aliyotenda Mungu

    Mungu anapompa mwanadamu kitu,humpa two options ili mwanadamu achague mwenyewe.Halazimishi wala haforce uamuzi wako.Alipomuumba Adam alimwonyesha mazuri yote na kisha akamwonyesha na mti wa ujuzi na mabaya.So it was Adams choice.
Back
Top Bottom