Recent content by fundicmu

  1. fundicmu

    Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    Moja yatosha. Zenji ni mkoa tu ndo mana hata kubonyeza kwao ni shiiidah!!!♥
  2. fundicmu

    Ualimu

    walimu hususan vyuoni wanapowaambia wanafunzi hususan freshers kuwa 'hili darasa mpo wengi mno inabidi mpungue ili kuwepo na hewa' na kuna wanaosemaga 'hii course hakuna anayeweza kupata A' je lengo lao ni zuri kweli!?♥ na je wanatambua maana ya ualimu na madaraja yaliyowekwa!? Im all eyes...
  3. fundicmu

    Nikaribisheni jf

    We huku ingia tu mlango wenyewe wa magunia so hatuzickii hodi zote. Just walk in and obey rules and regulations. Hususan hatupendelei kelele utatuharibia cmu then unikeep busy kubadili spikaz
  4. fundicmu

    kukaribishwa

    Karibu ila uvue viatu. Jamvini haturuhusu matope wala mchanga
  5. fundicmu

    hodi hodi

    Pleasure is mine Ngararimo
  6. fundicmu

    Hi

    Hips dont Lie au Hips dot Com!?♥
  7. fundicmu

    Hodi humu ndani

    Jamani mwenye cmu mbovu ailete kwangu nafungua kwa kutumia kompyuta na ulimi!♥ Happy to be here dear prospective customers of mine!♥#
  8. fundicmu

    hodi hodi

    Pole sana Ngararimo. Wenyeji wana stress za haja ndiyo maana wakali. We kuwa mpole tu sasaiv utawajua. C umeona ushaambiwa miguu cjui mizuri hapo utapata cfa zoote. We itikaga tu 'TANTEE'
  9. fundicmu

    Hivi ndio vyuo vya kata vya Tanzania

    Ha haaaa. Kwakweli maana tunaona tu inputs zake mf. Kuongezeka kwa foleni Dar ni maendeleo ha haaaaaa
  10. fundicmu

    Hivi ndio vyuo vya kata vya Tanzania

    Ha haaaaa. 0717 .......
  11. fundicmu

    Wasichana vyuoni na rushwa ya ngono

    Ha haaaaaa. Eti kipochimanyoya!! Ha haaaa eti 0717...... Dah wabongo noumer.
  12. fundicmu

    Vyuo vya private vinashusha thamani ya elimu

    Nafikiri mtoa post ulipaswa kufikiri b4 hujaweka hii kitu hapa. Unalaumu private universities yet unasahau kuwa govt institutions unazosapoti hazipo kama zamani. Chukua mfano mdogo tu wa matokeo ya form 4, shule zilizoitwa spesho kipindi hicho zimeanzia nafasi ya 47 yet shule zinazoongoza ni...
  13. fundicmu

    Engineers wa St. Joseph College na GPA kubwa kubwa

    Kweli wakoloni wametuharibu. Kwahiyo for the rest of Tanzanians life hatukutarajia kuwa na wanafunzi wanaofaulu kwa daraja la juu ktk fani ya uhandisi!? Kuna Dr. M1 pale DIT aliwahi kusema kama angefanya pHd yake UDSM ingemchukua hata a decade kukamilisha. Instead alisoma Florida State Univ...
Back
Top Bottom