Habari,
Nauza tv yangu imetumika kwa muda mchache ila ni bado mpya kabisa aina ya LG inch 21 inaonyesha picha nzuri zaidi ya FLAT bei tsh 50,000. contact 0753505115 na 0715505115.
habari nauza tv yangu mpya kabisa full box aina ya ALITOP inch 32 smart kwa bei ya kutupa kabisa bei ni tsh 200,000 namba ya kunipata 0753505115 au 0715505115
kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu nilikuwa natumia WhatApp GB ghafla ikaexpire nikadownload upya nikiunga inaniandikia account not verified nimetuma na picha hapo chini jinsi inavyokuwa.
naombeni msaada kama kichwa cha msg hii kinavyojieleza hapo juu namba yangu nikijiunga na whatsap inaniandikia you need the official account to use these.
Kama kichwa kinanyojielezea nyumba ya vyumba vitatu vya kulala kimoja master sitting room, dining na jiko na Choo cha public nyumba ni mpya kabisa ina eneo kubwa la kulaza ata gari 4 na tenki la maji lipo nyumba ipo mbezi nyuma ya stendi ya magufuri umbali kama wa mita 700 toka stendi na bei ni...
Plz kaka msaada naomba freq za kusetia dishi la canal na zile dishi kubwa ili niingize kwenye finder yangu au kama ntaweza kupata app ambayo naweza kupata hizo satelite za decoder mbali mbali ili nipakue mm mwenyewe.
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu natafuta line ya airtel money iliyo kazini na ww ndo uwe mmiliki kama hauifanyii biashara kwa sasa na naomba iwe na document zote halali za umiliki wake mawasiliano 0753505115 na 0715505115 niko dar kimara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nauza PIKIPIKI aina ya boxer imetumika miezi 10 na uko katika hari nzuri kabisa na haina tatizo lolote na kila kitu kipo amna magumashi inapatikana kimara baruti bei 950,000 laki Tisa na nusu cont 0753505115, 0715505115
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.