Huenda ni kwa kutotathmini au kushauriwa vibaya kwa CCM kumpendekeza Makonda kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM, hili litakigharimu kwa kiasi kikubwa sana.
Hii ni nafasi ya kukisemea chama kwa wananchi na siyo kwenda kulazimisha baadhi ya viongozi wa Chama na Serikali kufanya kazi...
Binafsi jana nilileta uzi humu kulisemea hili humu MCT kwa kiburi chao wakaandika taarifa kwa umma wakijua itawasaidia. Hili baraza bure tu lipanguliwe
Kakuambia nani, hebu wafanye hivyo mwaka mmoja wanaine impact yake. Si waliondoa kigezo cha kwenda kufanya kazi mpaka mtu afaulu preinternship? Kwanini waliondoa? Warudishe uone hali itakavyokua mbaya.
Mwongozo wa WHO hakuna Preinternships, hakuna mtihani wa postinterndhip.Wanafunzi hupimwa na madaktari bingwa kwa Vitendo
maeneo ya kazi na siyo maswali 150 ya kuchagua. Hii ipo bongo pekee.
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Baraza la Madaktari Tanzania (MCT) ambalo kimsingi ndilo lenye mamlaka ya kisheria katika kusimamia taaluma ya Utabibu nchini linalalamikiwa na Wanataaluma wa tiba hasa madaktari tarajali kwa kukiuka makubaliono yaliyotokana na majadiliano ya kikao kati ya...
Inashangaza kuona taaluma ambayo pengine ingetakiwa kua msaada kwa taifa letu lakini imegeuka kua ni kichaka cha vioja. Kuna mdau alikuja kulalamika humu siku moja ya kwamba Baraza la famasia na Chama cha wafamasia wamejikita kwenye kufungia maduka ya watu na kujiwekea ubinafsi wa wao pekee...
WASIOJULIKANA WAANIKWA HADHARANI.
Kweli dunia ni eneo dogo sana nimeamini ya kwamba unaweza kutembea na uovu lakini usifikie nao mbali. Huyu Mungu ni wa ajabu sana pale anapoamua kushughulika na fedhuli na wenye roho chafu.
Katika hali isiyokua ya kawaida, Wakili Msomi nchini ndugu Petter...
Wewe huenda una tstizo la uelewa, umeambiwa walikua wanapita kulikua na vijana wa CHADEMA wamekaa kwenye mti wanaonyesha vidole viwili wakawakamata na kuwatia ndani, Petter Kams kiongozi ailipowafuata waliokamatwa akaambiwa wewe ndio tulikua tunakutafuta. Naye walimuingiza kwenye gari na kuanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.