Recent content by Funa the Wild

  1. Funa the Wild

    Ila hizi simu zinachangia sana kuvuruga mahusiano

    Kama kichwa cha mpenzi wako ni kibovu ni kibovu tu acheni kusingizia simu
  2. Funa the Wild

    Ushawahi jipatia likizo/Mapumziko ya namna hii?

    Si lazima waende wote, ata wawakilishi wanatosha
  3. Funa the Wild

    Ushawahi jipatia likizo/Mapumziko ya namna hii?

    Ni wewe kaka usitumie uwingi
  4. Funa the Wild

    Kataa CCM = Kataa Ushabiki wa Simba na Yanga

    HIi hakuna kitu itasaidia kuleta mabadiliko
  5. Funa the Wild

    Ushawahi jipatia likizo/Mapumziko ya namna hii?

    "Kuna wakati unakuwa unafanya kazi hadi inafika hatua unahisi ni kama ulizaliwa kutopumzika", "kuna wakati changamoto zinakuwa ni nyingi kiasi kwamba unaona kama una laana". "kuna wakati stress zinakuzidi kiasi kwamba huwezi ata kutoa chozi wala kucheka". Kuna namna nyingi za kujipa mapumziko...
  6. Funa the Wild

    Hifadhi ya Taifa Ruaha

    Mwisho uliwe na Simba uko porini 😂😂😂
  7. Funa the Wild

    Hifadhi ya Taifa Ruaha

    Zishafika boss...😁😁
  8. Funa the Wild

    Hifadhi ya Taifa Ruaha

    Ulikuwa ni wakati mzuri kupata nafasi ya kutembelea Hifadhi ya Taifa Ruaha (Hifadhi ya Pili kwa ukubwa Tanzania)inayopatikana ndani ya mji wa Iringa na wanafunzi wa chuo kikuu cha Uhasibu (Tanzania Institute of Accountancy, TIA) Campus ya Mbeya. Karibu utalii nasi, Wasiliana nasi kwa Package...
  9. Funa the Wild

    Bagamoyo Inatuhitaji

    Karibu kwenye safari ya kusimumua ya kutembelea fukwe za, The Horizon ndani ya mji wa Bagamoyo ikiambatana na kusherehekea sikukuu ya Christmas, ikitukutanisha wadau kutoka kona mbalimbali. Ikiambatana na kufanya Utalii wa ndani kwa kuzungushwa na Boat na shughuli lukuki za Kitalii. Shughuli...
  10. Funa the Wild

    Christmas Special

    😅😅😅
  11. Funa the Wild

    Christmas Special

    CHRISTMAS SPECIAL🎁 Date: 25th, DEC 2024 The Horizon Beach 🏖️ Karibu kwenye safari ya kusimumua ya kutembelea fukwe za "The Horizon" ndani ya mji wa "Bagamoyo" ikiambatana na kusherehekea sikukuu ya "Christmas", ikitukutanisha wadau kutoka kona mbalimbali. Ikiambatana na kufanya "Utalii wa...
  12. Funa the Wild

    Tamasha la Kimataifa la Maonyesho ya Biashara na Utalii Nyanda za Juu Kusini

    Maonyesho ya Biashara na Utalii Nyanda za Juu Kusini 📍 Matema beach, Kyela, Mbeya, Tanzania 🇹🇿 Kusini International Trade Fair & Festival 2024 Ni maonyesho ya kimataifa yaliyoundwa ili kukuza shughuli za biashara na nyingine zinazohusiana na uwekezaji, kilimo na umwagiliaji, afya, utamaduni...
Back
Top Bottom