Recent content by FUMBUKA LUNYONYO

  1. F

    Wakenya wasimika bendera mlima Kilimanjaro

    Watanzania (wanaoulilia mlima Kilimanjaro), niwaulize: Wamefaidika nini na uwepo wa mlima huo ndani ya mipaka ya nchi yao? Wanaulilia ili wabaki kuutazama tu? Inaeleweka na kufahamika kwamba mlima Kilimanjaro uko kenya na kwa miaka nenda miaka rudi, wakenya ndiyo wanaofaidika na mlima...
  2. F

    Maswali kwa Dr. Asha-Rose Migiro!

    ...niliwahi kuhoji mahala [wakati huo rose migiro-asha] akiwa un. Nilihoji: "hivi, dr.rose asha rose migiro, anafanya nini umoja wa mataifa [un]? Nikaendelea kuuliza [wakati huo japan ilikuwa imepigwa na tsunami na kuwepo kwa tishio la mionzi ya ki-nyukilia kusambaa duniani kwa njia ya...
  3. F

    Tanganyika Ikirudi Tutarudisha Mipaka ya 1886 kati ya Zanzibar and Tanganyika

    ...yote haya ni matokeo ya muungano kati ya tanganyika na zanzibar, kufanywa kizimamoto. Laiti kama muungano huu ungeshirikisha wananchi wa pande zote mbili, hivi vitisho, kashfa, kejeli na upuuzi mwingine tunaoushuhudia sasa visingekuwapo. Hapa tulipofika sasa ni lazima ukweli usemwe na...
  4. F

    Ujio wa Chama kipya CHAUMMA na Harakati za ukombozi

    .....upuuzi mtupu!....hapa tulipofika hatuhitaji tena upuuzi wa vyama! Yapo mahitaji ya msingi tunayoyahitaji kwa sasa kama taifa: 1. Katiba mpya yenye misingi ya demokrasia-shirikishi. 2.maisha bora yenye staha -elimu bora -huduma bora za afya -chakula cha kutosha -maji safi na salama...
  5. F

    PICHA: Hii ndio hali halisi katika wodi za hospitali ya taifa Muhimbili leo

    ...kasesela ni mmoja kati ya watu wanaofikiri kwa kutumia makalio.
  6. F

    Kwa hili Mwigulu Nchemba anastahili pongezi

    .....pamoja na madhaifu mengi ya mwigulu nchemba, anachonifurahisha ni kwamba, anatumia takwimu na vielelezo vyao wenyewe chadema kuwatoa kamasi!...anautumia vizuri sana udhaifu wa chadema na kuwashambulia!
  7. F

    Madaktari bingwa Muhimbili Watangaza mgomo rasmi

    ....Ni vigumu na ni hatari sana kuongoza nchi yenye uwiano tofauti na wa kutisha kabisa wa mishahara na posho kama ilivyo kwa Tanzania.
Back
Top Bottom