Ninajaribu kutafakari kuona ni nini mantiki ya watu wa team moja kuonekana wako kila mtu kivyao. Kwani toka mwanzo wangeonekana wako pamoja hiyo strategy ingeshindwa kufanya kazi? Kuna haja nirudi kwenye literature ili nielewe mantiki yake.
Pasco:
Ni kweli unajua kutumia fahamu yako ya sita (6th sense). Ni watu wachache sana wamejaliwa fahamu hii. Kazi ya kum-groom ilipomalizika huko ndani aliletwa nje kuonyeshwa kwamba ndiye huyu. Lakini watu kwa sababu hawatumii hiyo fahamu hawajalibaini jambo hili. Juzi watu wawili seniour...
Namsikitia EL kwa kuwepo serikalini kwa zaidi ya miaka 30 thelathini lakini akashindwa kufahamu jinsi akina Apson wanavyofanya kazi na muundo wa kampuni yao ukoje. Kazi hiyo ya kumpoteza njia na kumpeleka asikokuhitaji ilianza mara tu JK alipoapishwa! Chezea kampuni wewe! Rais kwa mtizamo wangu...
Kwa wanaoelewa jinsi "kampuni " (ninyi mnaita usalama) inavyofanya kazi zake ukweli uko wazi kuwa alikuwa kwenye safari asiyoijua. Kazi imeshaisha na siku rais wa nchi anaapishwa kazi ya ku-groom mtu atakayemrithi itaanza rasmi. Hebu unganisheni dots hizi:
1. Kwa nini sura zenye kuhitaji...
Nadhani kama tunajaribu kumuelewa hii ndiyo Rajua/dira yake. Kwa lugha ya wenzetu ndio Vision yake. Inaelekea hajui ku-formulate Vision!
Sasa ndugu zangu ninajiuluza kama matumizi ya hii kaulimbiu in a sound vema kwa watanzania ambao wanahitaji uongozi utakaokuwa na uhakika na mambo/maswala...
Nchi hii na watu wake sio wa kusema wanapiga kura kuchagua viongozi. Tutafute neno jingine ili tujitofautishe na wapiga kura serious wa nchi nyingine. Sisi hatupigi kura ila tunapanga foleni ya kula! Rais wa nchi amezungukwa na mafisadi. Mama wa vipesa vya mboga. Akina Ritha Mlaki waliokuwa...
Hakuna mtu hapo. Kuongoza nchi sio sawa na maandalizi ya harusi. Nilichokiona leo hakina tofauti na hitimisho la maandalizi ya harusi ambako bwana na bibi harusi licha ya kupewa zawadi basi hupewa nafasi ya kuwashukuru wageni waalikwa kwa kusema lolote. Ndivyo ilivyokuwa kwa Lowasa na genge lake...
Reconciliation kwa maslahi ya CCM! Kwa nini waendelee kugombana wakati wana lengo moja? Wote ni watafutaji wa maisha mazuri. Wote wako kibiashara zaidi. CCM ni fursa. Kingunge anayo business ya Parking jiji la Dsm na mambo yake yanaenda.
Kwa hiyo alikuwa anawasihi akina Membe wakae waongee...
Hii nchi ni ya ajabu. Watu wake sielewi wameazima vichwa wapi? Lakini tusishangae sana. Tanzania ni taifa la itikadi ya wingi (quanity) na sio Ubora(quality)! Angalia kwetu msomi ni mtu mwenye shahada na vyeti vingi. Kielelezo cha kukua kwa uchumi ni wingi wa magari na foleni zake barabarani...
Watu wa Ukerewe wapo na ni makini. Asubuhi huwa ni biashara na jioni ni mahesabu. Machemuli alifanya biashara na Wakerewe. Na sasa muda huu anasubiriwa akatoe mahesabu. Makusanyo ni bei gani kwa kura alizopewa. Nadhani kama hesabu hazitatimia kitaeleweka.
BUGORORA:
Kwa nyongeza ni kwamba suala kuoa na kuolewa kwa mtu yeyote sio issue ya kitaifa. Taifa letu halijashindwa kuendelea kwa miaka 50 kwa sababu watu wameoana na kuachana au kwa sababu fulani kamfumania fulani. Lakini ni ukweli wa mchana kweupe kuwa nchi imeshindwa kupiga hatua kwenda...
CCM mnaishi wapi? Ni sayari gani? Mumesoma wapi na nani Mwalimu wa viongozi na wana-chama wenu? CCM mnajiita chama tawala na tena chenye ndoto ya kutawala kwa kipindi cha karne kwa maamuzi ya namna hii? CCM mnasema Mwalimu Nyerere aliwaachia usia kuwa yeye anang'atuka lakini bila CCM madhubuti...
CCM hizo kanuni zenu na taratibu mlikuwa mumezifungia wapi? Mbinguni wasipoweza kufika mende wala mchwa? Kama kanuni zenu zilikuwa wazi kwa kila mwanachama wakiwemo hao wafungwa ilikuwaje wasiweze kuzisoma na kuzielewa? Je, walisoma ila hawakuelewa? Je, kwa nini hawakuelewa? Je, kwa sababu...
CCM CCM mlisoma wapi na nani mwalimu wenu? Mbona mnaongea na kutenda kama waliolewa matapu tapu? Hivi kikao hicho cha kamati kuu kilikuwa na Mwenyekiti kweli? Nini maana ya Mwenyekiti wa kikao? Je, ni mtu anayesimamia lolote tu lipitishwe? Mbona hajamtuambia wafungwa wenu baada ya kifungo cha...
CCM ni kikundi cha watu wa ajabu sana! Na sielewi wanajiamini nini? Je, ni kwa sababu hakuna mwenye moral authority ya kumunyooshea mwenzie kidole? Haiwezekani watu walifungiwa kwa miezi yote hiyo na bado wapo waliokaidi adhabu hizo wakaendelea na kampeini kipindi chote cha adhabu kwa staili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.