Elections 2015 Sasa naanza kupata picha kwamba Apson Mwang'onda yupo kwa Lowassa kikazi zaidi...

Kwa wanaoelewa jinsi "kampuni " (ninyi mnaita usalama) inavyofanya kazi zake ukweli uko wazi kuwa alikuwa kwenye safari asiyoijua. Kazi imeshaisha na siku rais wa nchi anaapishwa kazi ya ku-groom mtu atakayemrithi itaanza rasmi. Hebu unganisheni dots hizi:
1. Kwa nini sura zenye kuhitaji kusafishwa na dodoki ndio zinamzunguka EL? JK kishasema hawahitaji mtu mwenye makando kando!
2. Pengo juzi wakati wa sherehe za pasaka alipiga picha na jamaa mmoja mbele ya Lango kuu la Mt. Joseph. Mnadhani ilikuwa ajali?
3. Jamaa huyo kasema juzi atasema nia yake akiwa kwao. Kule alikoanzia safari ya kwenda sekondari na baadaye Kujiunga na kampuni. Mnadhani alitamka jina kampuni kwa bahati mbaya?
 
Natamani sana Lowasa akataliwe CCM lkn sioni kama itakuwa rahisi kwa sababu kundi lake linaweza kuimaliza CCM kirahisi. Hili kundi lina mafia ambao kila uchaguzi wanabadilisha matokeo ya uchaguzi Zanzibar. Kundi hili linajua namna gani CCM imekuwa ikishinda hama kihalali au kwa wizi. Itakuwa ngumu kuwapiga chini. Wamewaachia muda mrefu na sasa wanalitafuna taifa. Na tutalia sana.

kila kitu kinawezekana
 
Namsikitia EL kwa kuwepo serikalini kwa zaidi ya miaka 30 thelathini lakini akashindwa kufahamu jinsi akina Apson wanavyofanya kazi na muundo wa kampuni yao ukoje. Kazi hiyo ya kumpoteza njia na kumpeleka asikokuhitaji ilianza mara tu JK alipoapishwa! Chezea kampuni wewe! Rais kwa mtizamo wangu japo simkubali ni yule ambaye tayari ana endorsement ya Kanisa Katoliki (tafuta picha za Cardinali Pengo wakati sherehe za Pasaka mwaka huu na zile Askofu Valentino Mokiwa kwenye maadhimisho ya miaka 100 ya Kanisa la Anglikani Tanzania). Halafu unganisha na dots zingine.
 
Conpiracy theories zimewajaa wanaJF hadi wanashindwa kuuona ukweli wa wazi kabisa... Apson bado anasimama kama mratibu Mkuu akishirikiana na yule Strategist wa Obama!!! ... Mnae Msema kama King Maker yeye anajukumu moja tu la Wajumbe wa CCM ambao wengi wao wanafahamiana vema sana ... haya ma dot yakiwa mengi yanakuwa matundu ya kuvujisha uhalisia Wakuu ...
 
Unasahau kuwa EL ni miongoni mwao tena wa ndani Zaidi ... Kanisa Katoliki mikakati yake inajulikana na tayari Pengo anapigwa na wengi kwa kuonekana anaegemea upande wa ndugu yake Pinda ... Hawa watu wa Vatikan Pinda, Membe, Nchemba, wassira, Mwandosya, Mwakyembe, Magufuli, Sumaye et al wanajulikana syndicate yao na haihusiani na TISShata chembe... Ndani ya kitengo kina watu wenye weledi mpana ambao hautawaliwi na emotions za kibinaadamu Zaidi ya facts ambazo Kingunge ameziainisha kwa niaba ya JK ...

So, should we drop 'our dots' and let yours reign?
 
" Kauli ya M/Kiti wa Chama ndiyo Msimamo wa Chama" ... CCM inamhitaji Mgombea mwenye kukubalika ndani na nje ya Chama! Nani Mwingine Zaidi ya Lowassa?
 
Hakuna chama cha upinzani kitamkubali lowasa na mafisadi wenzake. Hilo wasahau!.

kwa mawazo yangu sidhani kama anategemea ccm tu. miaka yote amekuwa anatafuta watu na ameshawapate. Inawezekana ccm ni option namba moja. Wakimkataa sidhani kama watakwamisha safari yake ya matumaini. Tusubiri tuone.
 
Wote mmekosea,Kikwete mwenyewe hana imani na CCM yake tena, huyu ana mapenzi ya dhati na Upinzani na anatamani sana uchukue nchi.Hayo yote mnayoongelea kuhusu Mwang'onda kumpoteza njia Lowassa naona kama mmekosea vile,Kikwete ndiye ameipoteza njia CCM makusudi ili ishindwe uchaguzi mara atakapoachia madaraka.

Fikirieni hili suala la katiba kwa umakini na mtaona kitu kisicho cha kawaida.JK ana akili.Alikubali suala la katiba ambalo ni ajenda ya Upinzani kimkakati zaidi.

Alijua fika kwamba wakati wa mijadala ktk bunge maalum la katiba kungeibuka hoja ambazo lazima zingewaleta Wapinzani hasa CUF na CHADEMA pamoja ili kazi ya kuiondoa CCM iwe rahisi zaidi,hilo alifanikiwa.Alimpa uhuru wote aliouhitaji Warioba ili aitengeneze katiba ya wananchi, na alijua tu rasimu ya Warioba lazima ingekataliwa na wabinafsi flani ndani ya chama chake,na hivyo azima yake ya kuua ndege wawili kwa jiwe moja ingefanikiwa tu.

Moja ameweza kuwaingiza mkenge akina Chenge kuichakachua rasimu ya Warioba kumeweza kuwaudhi wananchi ambao wamechukia kweli baada ya kuona maoni yao yamepuuzwa na kuwekwa kando,sasa wameapa kuonyesha hasira zao ktk sanduku la kura,matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa ilikuwa trela tu.

Pili,ndiyo hivyo maslahi yanayofanana yameviunganisha vyama vikubwa vya Upinzani nchini.

JK ameshamaliza kazi ya kuiokoa nchi isiangukie mikononi mwa walafi,tunasubiri siku tu ya kuhitimisha shughuli.Kwa kumalizia,ebu unganisheni dots hapa kutokana na hizi kauli za JK kwa Wana CCM wenzake,moja aliyoitoa miaka kadhaa iliyopita alipowaambia 'wajiandae kisaikolojia',na kauli yake ya hivi karibuni aliyoitoa ktk moja ya vikao vya CCM vinavyoendelea huko Dodoma pale alipowachana laivu kwamba 'zile zama za kuchagua mgombea yeyote wa CCM na kudhani atashinda tu zimekwisha'.Kwa wenye kung'amua haraka ujumbe halisi uliokusudiwa na JK wameshang'amua.

Na kwa wale wenye vichwa vigumu ktk ku_read between the lines mpaka leo hawajamwelewa JK.Hayo ni mawazo yangu tu.
 
October ukawa itashinda kwa kishindo
Ccm anzeni kufungasha virago, maana naona majamb@..zi washaanza kuonesha nia kuingia ikulu tena na team kubwa.
Vote for ukawa
 
Unasahau kuwa EL ni miongoni mwao tena wa ndani Zaidi ... Kanisa Katoliki mikakati yake inajulikana na tayari Pengo anapigwa na wengi kwa kuonekana anaegemea upande wa ndugu yake Pinda ... Hawa watu wa Vatikan Pinda, Membe, Nchemba, wassira, Mwandosya, Mwakyembe, Magufuli, Sumaye et al wanajulikana syndicate yao na haihusiani na TISShata chembe... Ndani ya kitengo kina watu wenye weledi mpana ambao hautawaliwi na emotions za kibinaadamu Zaidi ya facts ambazo Kingunge ameziainisha kwa niaba ya JK ...

Rockspider you lack facts at your fingertips. Sumaye is Lutheran, Wasira is seventh day adventist. Do not fabricate lies. When you have been beaten up you come with a lot baseless conspiracy theories. The game is over. We came this far because we are standing on Gods shoulders!
 
When the brain is at work. . . . . . .it is almost abnormal for the mouth to utter whatsover is under mental process. . . . .!!!!
 
Back
Top Bottom