hii falsafa ya kutumia picha ya nyoka kwa watu waliosoma kiswahli kwenye fasih andish kpengele cha fani matumiz ya lugha ya pcha pale anapotajwa nyoka ujue ni hatari tupu hapa kaliki hapana amani wala mshkmano sasa ccm wanapojifananisha na nyoka kwa kujivua gamba manake wanahatarisha amani kama...
naomba twende tukasome kwanza mapendezekezo yote yaliyotolewa na msemaji mkuu wa kambi ya upinzani mr two juu ya mswada ule wa unesco then turud tujadili kwa kina zaid juu ya pendekezo la kutumia lugha za makabla ktk tv na radio statn sio una jaji kwa point moja tu ya lugha wakat hata ule mswada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.