Habari wadau,binafsi nimemskiliza sana bwana Haphley Pole pole juu ya mambo yanayoendelea nchini kuhusiana na utawala uliopita na huu wa sasa wa Samia.
Bila kumpinga wala kumkubali jamaa atueleze kuhusiana na watu au kikundi cha watu wasiojulikana almaarufu kama watekaji (wauaji).
Hamphley...
Mimesoma chapisho lake kwenye mtandao wa Instagram akizungumzia uhamisho wa Kennedy Musonda aliyekuwa mchezaji wa club ya Yanga ambaye kwasasa katimkia timu moja huko Israel.
Maswali niliyojiuliza baada ya kusoma chapisho lake lote ni haya hapa tusaidiane kujiuliza:
Je Maulid hakusoma...
Nimetokea kuupenda mkoa huo japo sijawahi kufika,kuhusu kazi naweza fanya yoyote japo nina mtaji ila si mkubwa ingawa unaweza kwa biashara isiyo kubwa sana
Habari wakuu na wadau wa jf,hope mko fine.
Mimi ni kijana mwenye miaka 38+ naishi mkoa wa Shinyanga kunakosifiwa kwa wingi wa madini japo mimi pesa ya madini siifaidi kabisa pamoja na kujihusisha kwa muda wa miaka mwingi.
Nina familia ya mke na watoto 3,sasa nimekaa nikafikiri nakuona nihamie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.