Recent content by Fulge Nelson

  1. Fulge Nelson

    Gwajima ni 'Threat to National Security', Mamlaka husika zimdhibiti

    Umemaliza yote..kiukweli mi sometimes naona aibu anayofanya gwaj..aliseema soudybrown angemtaja hadi nyumba anayokaaa..yaani gwajma akae kuchuana na soudy?? Mi naona km anajisahau mi nimeacha kwenda kusali na siendi....abadilike amezidi sasa..
  2. Fulge Nelson

    Jinsi ya kutengeneza kalimati

    Ahsante dear
  3. Fulge Nelson

    Jinsi ya kutengeneza kalimati

    Unaumua dk ngapi?
  4. Fulge Nelson

    Uhuni unaofanywa na Paul Makonda akishirikiana na watu tuliowaamini kulinda nchi

    Hivi imekua confirmed kuwa bashite ndo kamteka Roma? Mi simkubali bashite zero lakini kung'ang'ana bashite ndo kamteka sidhan km ni sawa...km sio yeye je??
  5. Fulge Nelson

    Jinsi ya kutengeneza kalimati

    Tatizo LA kalmat zinanyonya mafuta
Back
Top Bottom