Recent content by fukutoz

  1. fukutoz

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kujua idadi ya mizunguuko ya waya (coil) kwa upande wa INPUT

    Habari wakuu kwa anayefahamu ufundi wa radio, naomba msaada wa kujua idadi ya mizunguuko ya waya (coil) kwa upande wa INPUT wa TRANSFORMA yenye INPUT 230V/50Hz OUTPUT 11V×2/0.8A THANX
  2. fukutoz

    JamiiForums Tanzania Kunyoosha mguu wa mtoto mchanga wa wiki

    hahahaha hup utani ss
  3. fukutoz

    JamiiForums Tanzania Kunyoosha mguu wa mtoto mchanga wa wiki

    hujaeleweka mkuu unaelekeza au unalaumu
  4. fukutoz

    JamiiForums Tanzania Kunyoosha mguu wa mtoto mchanga wa wiki

    Wakuu habari, Naomba msaada, Kuna dada yangu amejifungua wiki iliyopita lakini mtoto mguu wake umepinda ya kwamba pindi akianza kutembea atakuwa anakanyagia kwenye kifundo kwa pembeni. Naomba msaada wa kunijulisha dokta au hospitali gani itafaa kwa kutatua tatizo hili.
  5. fukutoz

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufahamu kama simu yako au line yako inafatiliwa na mtu mwingine

    mm nijulishe namna ya kufoward
  6. fukutoz

    JamiiForums Tanzania Chanjo MPYA ya UKIMWI inayoponesha wengi

    Asante sana wakuu kwa mchango wenu wa Jana kuziona picha ya ARV na ushauri. Sasa Leo ningeomba tujadili swala moja muhimu sana..... Kwa kuwa serikali na taasisi mbalimbali zinajitahidi sana katika kupunguza maambukizi ya UKIMWI Mimi pia katika harakati hizo nina mchango ufuatao: Serikali...
  7. fukutoz

    JamiiForums Tanzania Naomba picha ya vidonge vya ARV vya kisasa nijiandae kisaikolojia

    mmmh mkuu sema tu kama tupo wote.....mtu huyo naani yan kwamfano..kakuonesha au
  8. fukutoz

    JamiiForums Tanzania Naomba picha ya vidonge vya ARV vya kisasa nijiandae kisaikolojia

    woooow.....!"!!ahsante sana mkuu...kumbe havitishi
  9. fukutoz

    JamiiForums Tanzania Naomba picha ya vidonge vya ARV vya kisasa nijiandae kisaikolojia

    HABARI WAKUU; naomba msaada wa picha ya vidonge vya ARV ili nijiandae kisaikolojia
  10. fukutoz

    JamiiForums Tanzania Nataka tv used ya bei nafuu

    wakuu msaada wa TV ya bei nafuu flat au chogo used.....nipo dar
Back
Top Bottom