Recent content by Fukua

  1. Fukua

    JamiiForums Tanzania Misaada namna ya kupata app ya loan online

    Ahsante lkn ninachohitaji ni kuwa na app yangu mwenyewe
  2. Fukua

    JamiiForums Tanzania Misaada namna ya kupata app ya loan online

    Hatari Wana jukwaa Kwanza nitangulize shukrani zangu za dhati kwenu. Ninahitaji kuwa na app ya kukopesha pesa mtandaoni lakini sijui ninaipataje, ninafahamu hum Kuna wataalamu WA Kila kitu. Hivyo ninaomba msaada wenu wakuuu kuhusu njia za kutengeneza hiyo app au gharama zake mpaka niwe na app...
  3. Fukua

    JamiiForums Tanzania Kwa maslahi mapana ya Taifa la Tanganyika nawaomba tujadili kwa undani hili jambo la maridhiano

    Vituo Vituo vya kupigia kura vilichomwa na Bado mkapata 98%? Tutawanyonga Hadi mfe na Kwa taarifa kuridhiana na serikali haramu HUo uharo haupo, Samia aachie nchi la sivyo tutakuanzisha nyuma ya pazia mbwa nyie
  4. Fukua

    JamiiForums Tanzania Kibao kitapogeuka, Lissu atakuwa uraiani, huku mtesi wake akiwa The Hague Court

    Mbinu zozote chafu dhidi ya lissu humrudia mtesi, ingawa Kwa kweli sidhani kama samuya atafika ICC
  5. Fukua

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kiapo changu Kwa nchi yangu ya Tanganyika

    Mimi fukua wa jf nianaapa kwamba, nitaipenda,kuipigania na kuitumikia nchi yangu ya Tanzania Kwa moyo wangu wote. Kwamba, ninaikataa CCM na serikali yake yote, ninamkataa Samia na mambo yake yote,bunge, mahakama, TISS, polisi na vyombo vyote vya Dola hii haramu Kwamba...
  6. Fukua

    JamiiForums Tanzania Kama Mungu alikuokoa na risasi 30+, hata hili hatakuacha weka Imani kwake kaka yetu

    Habarini wote Kwa hii kesi ya Lissu, CCM chama changu, serikali yangu ya mama Samia, mahakama zetu, na WA Tanzania msiompenda huyu kaka mmeniumiza sana. Kwa kuwa mimi ni mcha Mungu nimemwachia ashughulike nalo na ninaamini hawezi kumwacha. Kaka Lissu hakuna haja ya kufikiri kwamba watu Hawa...
  7. Fukua

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuendelea kumshikilia 'yule mtu' ni janga zaidi

    Lisu anatoa Siri Kwa mabeberu na anashirikiana nao Kwa namna ya kuwapa mapungufu ya kisheria Ili kuibia nchi yetu
  8. Fukua

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuendelea kumshikilia 'yule mtu' ni janga zaidi

    Mama Hana tatizo, lisu kinamponza uropokaji wake na vyombo vya usalama viko macho
  9. Fukua

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuendelea kumshikilia 'yule mtu' ni janga zaidi

    Sasa hoja Yako nini
  10. Fukua

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuendelea kumshikilia 'yule mtu' ni janga zaidi

    Hakuna kifo kizuri kifo ni kifo tu hata wewe utakufa
  11. Fukua

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuendelea kumshikilia 'yule mtu' ni janga zaidi

    MaMA ni msikivu ni Imani yangu huyo mropokaji wenu ataachiwa lkn ingefaa zaidi baada ya uchaguzi. Kwani watz hatuko tayari kuona kinanukishwa wakati was uchaguzi na huyo mbeligiji koko
  12. Fukua

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuendelea kumshikilia 'yule mtu' ni janga zaidi

    Kibaraka was wazungu,
  13. Fukua

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuendelea kumshikilia 'yule mtu' ni janga zaidi

    Atakinukisha ndio Sasa anaropoka hovyo sana
  14. Fukua

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuendelea kumshikilia 'yule mtu' ni janga zaidi

    Ninampenda ndio sababu
  15. Fukua

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuendelea kumshikilia 'yule mtu' ni janga zaidi

    Tunataka kushinda Kwa kishindo mkuu
Back
Top Bottom