Recent content by FUJUTAJO

  1. F

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wanachama zaidi wazidi kuihama CHADEMA

    Bora kunywa lita 20 za maji safi zenye tone moja la kinyesi kuliko kunywa lita 20 za kinyesi zenye tone moja la maji safi
  2. F

    JamiiForums Tanzania Shinyanga mjini, wafuasi wa Dr. Slaa wahama CHADEMA

    Umechelewa kaka tafuta mbinu nyingine maana ilitumika dar ikakosa mafanikio
  3. F

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya CHADEMA ya Wafuasi wa Dr. Slaa Jijini Mwanza

    Bora ukose vingine laini usikose akili.hv chadema wataandamanaje kwenda kwa dc?ccm wasiogope mwaka huu lazima lowasa awanyooshe mkae sawa.ccm mnawadnaganya wananchi kwa tshirt na kofia ?wat ameichoka ccm.watakaoipigia ccm ni wale wajingawajinga na wasio makini
  4. F

    JamiiForums Tanzania Akina mama Mkalama na Iramba waandamana kupinga kauli ya Lowassa

    Ccm ieleze namna itakavyotekeleza ilani kwa mwaka ujao na siyo kumchafua lowasa.wananchi wa sasa siyo wale wakugawiwa kofia na tshirt.mabadiliko ni lazima
  5. F

    JamiiForums Tanzania Mwanza wamuomba Slaa kufanya kongamano ''okoa nchi kataa ufisadi'' Nyerere mpya azaliwa

    Usisime ni shirika limedhamini bali kuna chama kimemdhamini DR SLAA.Tatizo ni uraisi.Ukimpima DR Slaa na Lowasa ,Lowasa anamuacha Dr Slaa mbali sana.Lowasa hoeeeeeeeeeeeeeeeeee.
  6. F

    JamiiForums Tanzania Ubunge Kigoma mjini ngoma nzito: Zitto Vs Kabourou Vs Lumenyela

    Binafisi namuunga mkono zitto
  7. F

    JamiiForums Tanzania Mafanikio Ya Kenya Baada Ya KANU Kudondoshwa,CCM Wameshindwa Kwa Miaka 54

    Ni kweli watu wanaounga mkono kawa ni watu kutoka kanda ya kaskazni?
  8. F

    JamiiForums Tanzania Ubungo na Kibamba, Magufuli na wabunge wake hawapati kura

    Nalaani baadhi ya wagombea wanaoeneza propaganda za ukanda.hizi ni kampeni za chuki tuwaogope kama ukoma.vyama havundwi kiukanda watanzania tuwaaangalie sana watu wa namna hii
  9. F

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya Rufaa za Wabunge na Madiwani yaliyofanyika ktk Kikao cha Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)

    Mungu tupatie kiongozi anaependwa na watu
  10. F

    JamiiForums Tanzania Malofa na wapumbavu, tunaingia sasa Jangwani

    Lowasa nguvu ya umma
  11. F

    JamiiForums Tanzania Malofa na wapumbavu, tunaingia sasa Jangwani

    Nawatakia kila la kheri kwenye mkutano wa UKAWA
  12. F

    JamiiForums Tanzania CHADEMA/UKAWA kuzindua kampeni tarehe 29 Agosti, 2015 Jangwani

    Matusi kwetu mwiko.Huwezi kuchukua dola kwa kuwaeleza wananchi kuwa viongz ni wapumbavu na Malofa.Sera za UKAWA zitakubalika na siyo matusi.UKAWA hoeeeeeeeeeeeeeee
  13. F

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa kupata Mgombea Urais CCM: Kikwete ajivua lawama

    Mpango wa kuwadanganya wa tz kwa hiyenahiyena unachukua nchi then watu wanabaki hawana maendeleo umekwisha.watu wanataka mabadiliko ya kweli.siyo ubabaishaji wa kugawa kanga na tshirti.
  14. F

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa kupata Mgombea Urais CCM: Kikwete ajivua lawama

    Tatizo ni kwamba watano hao walipatikana je?
  15. F

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Watu wengi wanaoiunga mkono CCM, ni wale ambao hawajatoka nje ya Tanzania

    Mlio kwenye Mikoa hyo kanusheni kwa vitendo kwa kutoiunga mkono ccm
Back
Top Bottom