Recent content by From Tz to Kenya

  1. From Tz to Kenya

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dr Slaa ana chuki kubwa sana na Rais Samia?

    Tumpende kwa lipi zuri amefanya mpaka sasa,maisha yamepanda kuliko kawaida
  2. From Tz to Kenya

    JamiiForums Tanzania Hiki ndio kilichompeleka Tundu Lissu huko EU hivi majuzi!

    Mamlaka yapi ndugu. Tupo kwenye ukoloni wa kisasa jamaa wakiamua kukupiga pini hao Wazungu hununui hata kiberiti
  3. From Tz to Kenya

    JamiiForums Tanzania Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu

    Ukikaa kimya utaficha ujinga wako ndugu
  4. From Tz to Kenya

    JamiiForums Tanzania Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu

    Ukikaa kimya utaficha ujinga wako pia
  5. From Tz to Kenya

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mdude Nyagali akataa kuandika Maelezo Kituo cha Polisi, asema atayatoa Mahakamani

    Ukisha jiita chawa akili inakuwa hamna tena
  6. From Tz to Kenya

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa Bandari ya Dar ni kitanzi. Mbaya zaidi shughuli za awali zinaanza kabla ya Bunge kukubali. Je, wananchi tutakuwa na sauti katika hili?

    Huyo mwalimu unayemtukana kiasi hicho na kusema ni kazi ya laana ndio aliyekufanya ukajua kusoma na kuandika. Halafu una andika ujinga kama huu
  7. From Tz to Kenya

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha kumsifu Hayati Magufuli cha Malawi kimeandikwa kwa mashinikizo ya Polepole, ndiyo maana akahamishiwa Cuba

    Sasa umeandika nini,mwanzo mwisho hueleweki. Angetenguliwa angepewa tena ubalozi?? Nenda kale kwanza njaa imepanda kichwani
  8. From Tz to Kenya

    JamiiForums Tanzania Magufuli ndiye aliyejenga Ikulu ya Chamwino, acheni janja janja

    Sukuma sio kabila ni nin sasa. Kweli akili yako changa.
  9. From Tz to Kenya

    JamiiForums Tanzania Magufuli ndiye aliyejenga Ikulu ya Chamwino, acheni janja janja

    Unaetaja kabila akili yako kisoda
  10. From Tz to Kenya

    JamiiForums Tanzania NHIF na hasara ya zaidi ya Bilioni 204 ndani ya mwaka mmoja tu

    Shida waanze na huko ofisi zao wenyewe hapo kuna dili kati ya wafanyakazi wa NHIF na wamiliki wa hosp,huwez sema eti una muhasibu wa NHIF halafu anaona malipo hewa anatulia uhuni tu
  11. From Tz to Kenya

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uonevu uliokithiri Idara ya Elimu Manispaa ya Moshi

    Yaan hujaona uovu ila umekuja na ideas zako
  12. From Tz to Kenya

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uonevu uliokithiri Idara ya Elimu Manispaa ya Moshi

    Acha uzwazwa wewe,mtu anahatarisha ajira za watu halafu amfuate
  13. From Tz to Kenya

    JamiiForums Tanzania Nimemsikiliza CAG na nakubaliana na Mchungaji Msigwa Serikalini kuna Upigaji mkubwa kila mahali

    Kula urefu wa kamba,au CAG hakusikia hii kauli
  14. From Tz to Kenya

    JamiiForums Tanzania Mshtuko: Mloganzila hospital hawana maji

    Halafu kuna watu wanatumia pesa kufanya party z kumpongeza Mama kwa miaka miwili ya uongozi,na waziri yupo USA anakula mema ya nchi
  15. From Tz to Kenya

    JamiiForums Tanzania Aliyependekeza Mwigulu awe Waziri wa Fedha alaaniwe

    Tumaini la wezi
Back
Top Bottom