Ukitaka kusaidiwa vizuri, andaa hesabu zako vizuri.
Mkopo uliochukua - hujaweka bayana
Marejesho kwa kila mwezi - 138,000
Marejesho kwa mwaka - 138,000 *12 months = 1,656,000
Marejesho kwa miaka nane 1,656,000*8 = 13, 248,000
Kwa maana hiyo wamekupa document ya jumla ya marejesho 13,520,000...