Recent content by freshgirl

  1. freshgirl

    Kwanini Wanawake wa Kizanzibar waishio Bara huenda kujifungulia kwao Zanzibar?

    hivi kuna ukweli wowote kama umepata mimba ya kwanza alafu mwanaume akaja kukuingilia ni jambo baya na laana??? naomba minjulishe ukweli wa hili FaizaFoxy masai dada rubii Numbisa Miss Natafuta Money Penny lara 1 Shadeeya Madame S mahondaw
  2. freshgirl

    Pole Jacquiline, walimwengu ndo tulivyo

    Wasikie hivi hiv walimwengu Wanaweza wakakuambia shubiri tamu kuliko asali na huku wanaapa ili mradi yao yatimie
  3. freshgirl

    Pole Jacquiline, walimwengu ndo tulivyo

    Alafu ukute ni jinaume hilo lijitu Mattercore yake:D:D:D
  4. freshgirl

    Pole Jacquiline, walimwengu ndo tulivyo

    Na itakuwa vizuri wasikutag Na hongera nyingi sana zikufikie kwa kumjua vizuri huyo ant wa kigoma kuliko hata mume aliemuoa.
  5. freshgirl

    Pole Jacquiline, walimwengu ndo tulivyo

    Ahsante nimeipenda hii
  6. freshgirl

    Pole Jacquiline, walimwengu ndo tulivyo

    Sema usiogope ila tuu yawe ya kweli sio unakurupuka ili mradi uvute attention za watu huku unaumiza hisia za wengine
  7. freshgirl

    Pole Jacquiline, walimwengu ndo tulivyo

    Ni kweli hatukatai lakin tunachopinga ni hawa watu kueneza habar ambazo hawana uhakika kwa maslahi yao wanayoyajua Najiuliza tu hivi angeanza kufa k huu ufukunyuku na uzushi ungekuwepo?
  8. freshgirl

    Pole Jacquiline, walimwengu ndo tulivyo

    Na nyie pia muache uzwazwa wa kuamini kila mnaloambiwa
  9. freshgirl

    Pole Jacquiline, walimwengu ndo tulivyo

    Sawa kila la kheri na roho yako ya kwanini
  10. freshgirl

    Pole Jacquiline, walimwengu ndo tulivyo

    Basi ndo wote tukae kimya tuache uchunguzi upite hilo litakuwa jambo la busara.
  11. freshgirl

    Pole Jacquiline, walimwengu ndo tulivyo

    Tuone na huo uzushi wenu mtafika wapi Hivi Aikambee na ww ulikuwepo Dubai? Unaamin vp kila uzushi unaouskia usiwe mjinga wew?
  12. freshgirl

    Pole Jacquiline, walimwengu ndo tulivyo

    pumbavu huyo mwanaume wa kweli hawez kuwa hivyo
  13. freshgirl

    Pole Jacquiline, walimwengu ndo tulivyo

    wachaga uchwara nyiee wenzenu wanaojielewa hawawezi kuwa na calibre za uzushi kama nyie poleni wachagwa uchwara
  14. freshgirl

    Pole Jacquiline, walimwengu ndo tulivyo

    ni kweli watu waliozua haya mambo hawana tofaut na wachawi wakiongozwa na yule taahira mwenzao kimavi
  15. freshgirl

    Pole Jacquiline, walimwengu ndo tulivyo

    mwanaume gani huyo nilioiba hivi uzushi unawapa faida gani nyie watu?
Back
Top Bottom