Recent content by Freewine

  1. Freewine

    JamiiForums Tanzania Comments za wanaJF zilizowahi kunichekesha hapa jamvini

    Kwa miaka mitatu ambayo nimekuwa humu jamvini hakika nimegundua Kuna baadhi ya watu wanna IQ kubwa Sana ila Kuna wengine dooh! Lazima uwatafakari Mara mbili mbili ila yote kwa yote Ni kuwezesha eneo hili kukamilika kila idara. Sasa nakupa comments tatu nilizozisoma kwenye baadhi ya Nyuzi na Mimi...
  2. Freewine

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Serikali unahitajika kwa haraka sana kwa wanafunzi wa Chuo Kikuu SAUT Mwanza

    Hujui theory ya Demand and Supply? Hiyo Ni kawaida kitu kikionekana Ni kichache halafu huitaji ukawa mkubwa lazima Bei yake itapanda tuu. Mimi mwenyewe nilisoma hapo ila nilipoona vyumba vya jirani na chuo havikamatiki nilienda kuishi Sweya karibu kabisa na ziwani ila vipindi nilikuwa nawahi...
  3. Freewine

    JamiiForums Tanzania Yawezekana kulala chali Ni hatimiliki ya mlalo wa marehemu, usilale chale usiku

    kweli Mambo ya kiimani hayapo kwenye swala hili?
  4. Freewine

    JamiiForums Tanzania Watu 10 wanaoongoza kwa Umaarufu Tanzania

    wanajulikana ila ngumu kuingia top ten
  5. Freewine

    JamiiForums Tanzania Watoto wa mastaa na watumishi wa umma hawanyonyi ipasavyo, ndio maana wengi hamna kitu kichwani...

    pole Sana chief hakika dunia Ni vise versa
  6. Freewine

    JamiiForums Tanzania Yawezekana kulala chali Ni hatimiliki ya mlalo wa marehemu, usilale chale usiku

    hakika mtu Ni zaidi ya mwili huu wa nyama Kuna mengi Sana wanadamu tumeminywa tusiyajue
  7. Freewine

    JamiiForums Tanzania Yawezekana kulala chali Ni hatimiliki ya mlalo wa marehemu, usilale chale usiku

    Asante ila huwa cio mlaji Sana usiku
  8. Freewine

    JamiiForums Tanzania Yawezekana kulala chali Ni hatimiliki ya mlalo wa marehemu, usilale chale usiku

    yawezekana braza ila Mimi hunitokea
  9. Freewine

    JamiiForums Tanzania Yawezekana kulala chali Ni hatimiliki ya mlalo wa marehemu, usilale chale usiku

    mdada alishawaza kwa Nini uute ndoto za hovyo,? Yaani Nini kipo nyuma ya hizo ndoto?
  10. Freewine

    JamiiForums Tanzania Yawezekana kulala chali Ni hatimiliki ya mlalo wa marehemu, usilale chale usiku

    kwa hiyo wote tunakaa chini ya njia kuu za umeme? Na kwa Nini hayo yanitokee nikiwa nimelala chali to?
  11. Freewine

    JamiiForums Tanzania Yawezekana kulala chali Ni hatimiliki ya mlalo wa marehemu, usilale chale usiku

    Salaam zenu chief Nilishajijengea kila nikitaka kulala usiku lazima nipige angalau ishara ya msalaba ikifatiwa na Sala fupi ya Baba yetu uliye mbinguni........ Nikimaliza na maombi mafupi Basi napanda kitandani nalala. Kesho yake nikiamuka asubuhi Basi jirani wa nyumba Cha karibu nami...
  12. Freewine

    JamiiForums Tanzania Wanatafutwa wadau kushirikiana kuanzisha taasisi

    cjajua kwanini wamezi restrict kwa sababu hata Mimi nimejaribu kuku PM nimeshindwa
  13. Freewine

    JamiiForums Tanzania Wanatafutwa wadau kushirikiana ili kuanzisha Taasisi

    I don't know nitawapataje nyie jamaa maana naona na Mimi Sina permission ya ku view your profile ningewatumia namba
Back
Top Bottom